salosalo
JF-Expert Member
- Jun 7, 2012
- 598
- 280
we uliomba?
Sikuchelewesha maana kulikuwa na post ambayo walihitaji mtu mwenye sifa nilizonazo kasoro tu hawakunitaja jina.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we uliomba?
kwani walisema documents ziwe certified? sijaona hilo sharti kwenye tangazo lao
Ni vyema kusoma matangazo kwa umakini, ona sasa umeshajikosesha nafasi hata ya kuitwa kwenye interview! Punguzen papala!
we uliomba?
Niliomba mkuu maana kuna moja ya nafasi hapo sifa zote zinazotakiwa mimi ninazo.,
sina swali, vii wamefikia wapi kwa hiyo kuna tetesi zozote za majina kutoka?
Mie niliomba Post ya Procurement/Supplies & Logistics Officer na nimesikia maombi ni zaidi ya 600 kwenye hii post. DUUU!