Ukwaju JF-Expert Member Joined Oct 19, 2010 Posts 13,383 Reaction score 11,197 Jan 23, 2012 #1 nadokezwa eti jumamosi iliyopita hatua ya pili ya waliofanya interview ya kazi za UDOM naambiwa waliitwa kwa ajili ya Oral Test je ni kweli ?
nadokezwa eti jumamosi iliyopita hatua ya pili ya waliofanya interview ya kazi za UDOM naambiwa waliitwa kwa ajili ya Oral Test je ni kweli ?
N nkwezi Member Joined May 8, 2007 Posts 57 Reaction score 19 Jan 23, 2012 #2 Hiyo jumamosi walifanya watu wa kada gani? Maana oral interview ilianza toka desemba.
Capitol Member Joined Nov 26, 2010 Posts 28 Reaction score 8 Jan 25, 2012 #3 hali mbaya ajira sasa ni janga la kitaifa Udom kufanya recruitment ya kuajiri it takes more than 5 months whats rong! Mungu ibariki Tanzania na wasio na ajira!
hali mbaya ajira sasa ni janga la kitaifa Udom kufanya recruitment ya kuajiri it takes more than 5 months whats rong! Mungu ibariki Tanzania na wasio na ajira!