UDOM VP zile nafasi za kazi zimetoka?

UDOM VP zile nafasi za kazi zimetoka?

Ukwaju

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Posts
13,383
Reaction score
11,197
nadokezwa eti jumamosi iliyopita hatua ya pili ya waliofanya interview ya kazi za UDOM naambiwa waliitwa kwa ajili ya Oral Test je ni kweli ?
 
Hiyo jumamosi walifanya watu wa kada gani? Maana oral interview ilianza toka desemba.
 
hali mbaya ajira sasa ni janga la kitaifa Udom kufanya recruitment ya kuajiri it takes more than 5 months whats rong! Mungu ibariki Tanzania na wasio na ajira!
 
Back
Top Bottom