UDOM vs UDSM

Ilonza

Senior Member
Joined
Jan 11, 2011
Posts
119
Reaction score
13
Udsm enzi zenu ziliisha isha Hacheni UDOM,iitwe Udom,kadri siku zinavyo pita hadi mtasahaurika,ila msijari.
 
Udsm enzi zenu ziliisha isha Hacheni UDOM,iitwe Udom,kadri siku zinavyo pita hadi mtasahaurika,ila msijari.

Nyie ndio mnaofanya UDOM idharauliwe kutokana na thread za kitoto kama hizi...kuandika kwenye kunakusumbua hadi inatia shaka umefikaje fikaje hapo.
hebu nenda kwenye mgomo wenu na utuondolee ujinga wako hapa.
 
Nyie ndio mnaofanya UDOM idharauliwe kutokana na thread za kitoto kama hizi...kuandika kwenye kunakusumbua hadi inatia shaka umefikaje fikaje hapo.hebu nenda kwenye mgomo wenu na utuondolee ujinga wako hapa.
Hacha kuota, unadhani mgomo ni chuo kizima? Hiki chuo sio shule ya kata mdogo wangu.
 
Udsm enzi zenu ziliisha isha Hacheni UDOM,iitwe Udom,kadri siku zinavyo pita hadi mtasahaurika,ila msijari.
Iloganzala;
Ubarikiwe.; ila pole sana kwa kile kinachokusibu kichwani kwako!
 
Udsm enzi zenu ziliisha isha Hacheni UDOM,iitwe Udom,kadri siku zinavyo pita hadi mtasahaurika,ila msijari.

We ni mwanafunzi wa UDOM au mtoto wa mfanyakazi wa UDOM?..........Kama ni mwanafunzi......khaa! Elimu ya siku hizi basi itakuwa imefika kwenye kilele cha shimo!
 
Hacha kuota, unadhani mgomo ni chuo kizima? Hiki chuo sio shule ya kata mdogo wangu.
Mhh kama sikosei watokea Kagera wewe!!! Athari za Lugha ya Mama, Badala ya kuandika ACHA, watuandikia HACHA, Iweeeee!!!!!!!
 
Hacha kuota, unadhani mgomo ni chuo kizima? Hiki chuo sio shule ya kata mdogo wangu.
napata mashaka sana kama thread hii imeandikwa na msomi wa chuo kikuu kwa kiswahili kibovu hivi,wewe ndo unasababisha chuo chenu kionekane hewa tu!
 
mbona mnabishana Watu wamekula mabomu mdaa huu,udom siasa mingi.
 
Acheni ujinga wa kushabikia udom vs udsm. Kuna matatizo ya kimsingi yakushughulikia. Mkimjibu zuzu kama huyu ni ujinga. Ni kama yule mtu alikua anaoga mtoni halafu kichaa akakwapua nguo zake halafu akaanza kumkimbiza uchi mtaani. Kati yao nani ataonekana kichaa?
 
Ongelea mada,kwani walimu wa kiswahili mmekuwa wengi sana humu.
 
Mwalimu alikuwa mmoja tu naye alisha kufa.
 
Hacha kuota, unadhani mgomo ni chuo kizima? Hiki chuo sio shule ya kata mdogo wangu.

Siamini anayejenga hoja kama hizi ni mwanafunzi wa chuo kikuu!kweli sasa hivi vyuoni kumejaa vilaza!
 
We ni mwanafunzi wa UDOM au mtoto wa mfanyakazi wa UDOM?..........Kama ni mwanafunzi......khaa! Elimu ya siku hizi basi itakuwa imefika kwenye kilele cha shimo!
Mkuu usishangae hawa ndiyo vilaza wa vyuo vikuu vya siku hizi!!it is very shameful!!
 
kama huna la kufanya acha kuzingua watu sa umekusudia nini kuandika hivyo????....au boom limeisha!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…