Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nilijua udom kuna vilaza wengi sana,ila kiwango cha u-kilaza nimekipata leo.alafu we ndo yule prezida nin?Udsm enzi zenu ziliisha isha Hacheni UDOM,iitwe Udom,kadri siku zinavyo pita hadi mtasahaurika,ila msijari.
Naona umefurahi, ulisha wahi kwenda shule?, inawezekana hujui.UDOM ya leo nimaandarizi ya Udom ya kesho, acha wateswe kwa ajiri ya kizazi chako baadae.Washakula mibomu wengne kibao wanashikiliwa Central Dom,hawa watoto vilaza kweli,kumbe hawakuwa hata na kibali.
Naona umefurahi, ulisha wahi kwenda shule?, inawezekana hujui.UDOM ya leo nimaandarizi ya Udom ya kesho, acha wateswe kwa ajiri ya kizazi chako baadae.
Kiswahili tulikiacha drs la saba, unajifanya mitaara ya bogo huifahamu au umesome ulaya. Pole sana utakerwa mpaka utajiua bule.Kiswahili cha humu kinachefua!Wasomi wa wapi nyie?Ptuuu!
Kiswahili tulikiacha drs la saba, unajifanya mitaara ya bogo huifahamu au umesome ulaya. Pole sana utakerwa mpaka utajiua bule.
Kwan nyie leo mnasoma sasa,Elimu za kuungaunga 2,chuo cha kata hcho.Naona umefurahi, ulisha wahi kwenda shule?, inawezekana hujui.UDOM ya leo nimaandarizi ya Udom ya kesho, acha wateswe kwa ajiri ya kizazi chako baadae.
hivi siku hizi pale mirembe wanafaulisha kupeleka chuo kikuu?
Chuo kikuu hiki, UDOM, mbona una a.k.a nyingi au wewe ndo yohana mbatizaji sikuhizi.Kwan nyie leo mnasoma sasa,Elimu za kuungaunga 2,chuo cha kata hcho.
Inaonekana wanafunzi wengi wa Udsm mnakaa fcbk na jamii forum. Ndo maana ata taaruma inashuka kulinganisha na vyuo vingine. Tumieni mda vizuri kujisomea,sio kukaa tu dotcom.
Wenzanko wako kwny mgomo afu we umekomaa na Jf,kilaza kweli wewe,nyie ndio mnakuja ku2sumbua huku maofisini,hata cv hamjui kuandika..ngoja kwnz nikuache..Inaonekana wanafunzi wengi wa Udsm mnakaa fcbk na jamii forum. Ndo maana ata taaruma inashuka kulinganisha na vyuo vingine. Tumieni mda vizuri kujisomea,sio kukaa tu dotcom.