UDOM vs UDSM

Kweli ustaarabu na nidhamu kazi kwelikweli, ehee! Karibia thread nzima mmekoment matusi. Dah! Hii inatisha.
 
Udsm enzi zenu ziliisha isha Hacheni UDOM,iitwe Udom,kadri siku zinavyo pita hadi mtasahaurika,ila msijari.
nilijua udom kuna vilaza wengi sana,ila kiwango cha u-kilaza nimekipata leo.alafu we ndo yule prezida nin?
 
Washakula mibomu wengne kibao wanashikiliwa Central Dom,hawa watoto vilaza kweli,kumbe hawakuwa hata na kibali.
 
kweli kjjana tango poLi, haunogi hata kwa piRipiRi.. Hivi ule mtihani wa darasa la nne cku hz haupo tena ama umechakachuliwa? maana sielewi huyu bwana amefika vp chuo! lahaulaaa
 
Washakula mibomu wengne kibao wanashikiliwa Central Dom,hawa watoto vilaza kweli,kumbe hawakuwa hata na kibali.
Naona umefurahi, ulisha wahi kwenda shule?, inawezekana hujui.UDOM ya leo nimaandarizi ya Udom ya kesho, acha wateswe kwa ajiri ya kizazi chako baadae.
 
Naona umefurahi, ulisha wahi kwenda shule?, inawezekana hujui.UDOM ya leo nimaandarizi ya Udom ya kesho, acha wateswe kwa ajiri ya kizazi chako baadae.

kwakweri maandalirizi yamepamba moto..pambana mura..hakuna kurara.
 
Kiswahili cha humu kinachefua!Wasomi wa wapi nyie?Ptuuu!
Kiswahili tulikiacha drs la saba, unajifanya mitaara ya bogo huifahamu au umesome ulaya. Pole sana utakerwa mpaka utajiua bule.
 
Kiswahili tulikiacha drs la saba, unajifanya mitaara ya bogo huifahamu au umesome ulaya. Pole sana utakerwa mpaka utajiua bule.

hivi siku hizi pale mirembe wanafaulisha kupeleka chuo kikuu?
 
Walimu wenu UDOM wanatoka UDSM,tena wenye degree moja.Kwa thread yako madhara tunayaona!
 
Naona umefurahi, ulisha wahi kwenda shule?, inawezekana hujui.UDOM ya leo nimaandarizi ya Udom ya kesho, acha wateswe kwa ajiri ya kizazi chako baadae.
Kwan nyie leo mnasoma sasa,Elimu za kuungaunga 2,chuo cha kata hcho.
 
Inaonekana wanafunzi wengi wa Udsm mnakaa fcbk na jamii forum. Ndo maana ata taaruma inashuka kulinganisha na vyuo vingine. Tumieni mda vizuri kujisomea,sio kukaa tu dotcom.
 
Inaonekana wanafunzi wengi wa Udsm mnakaa fcbk na jamii forum. Ndo maana ata taaruma inashuka kulinganisha na vyuo vingine. Tumieni mda vizuri kujisomea,sio kukaa tu dotcom.

Kama ni kweli huyu ni mwanafunzi wa UDOM. Ni aibu kwa Taifa.
 
Inaonekana wanafunzi wengi wa Udsm mnakaa fcbk na jamii forum. Ndo maana ata taaruma inashuka kulinganisha na vyuo vingine. Tumieni mda vizuri kujisomea,sio kukaa tu dotcom.
Wenzanko wako kwny mgomo afu we umekomaa na Jf,kilaza kweli wewe,nyie ndio mnakuja ku2sumbua huku maofisini,hata cv hamjui kuandika..ngoja kwnz nikuache..
 
Badala ya kushindana nani zaidi, ni bora mkaunganisha nguvu kutatua matatizo yanayowahusu wote kama mikopo. Kumbuka ukikaa karibu na ua waridi utanukia, lakini hautakuwa ua waridi. Hata ungekuwa uko Harvard au MIT, bila jitihada binafsi ni kazi bure, kama vile kuishi karibu na sinagogi-si lazima uwe Kuhani.
 
Wanafunzi wa UDOM wanaumoja wa kudai haki zao,wanapofanyahivo mnadharau ila wakigoma udsm mnasifia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…