tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,129
Nimefuatilia kwa makini hii kashfa ya ngono isiyo halali Udom nimegundua mwandishi wa habari hizo hakufanya uchunguzi wa kina hivyo hana hoja (no research no say) anataka kuchafua sifa nzuri ya chuo hicho.
me mwenyewe nimechangaa chiku hizi DS inapigiwa Nkuruma! Haha fail hiyo uliepost hii jipange na source zako
Ni kweli Baba V.Miak ahiyo hata mimi nilikuwepo na kusimuliwa kisanga hicho kilichokuwa chamoto kabisa...
we wa wapi?? Zamani ilikuwa ds inapigwa nkurumah kabla ya hayo ma-yombo ya mchina
Huku Chuo Kikuu cha Dodoma-UDOM kikiandamwa na kashfa ya wanafunzi wake wa kike kujiuza kwa ajili ya kujikimu,hali ndani ya Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam-UDSM si shwari. Wanafunzi wa UDSM sasa wapo kwenye hali mbaya kiuchumi.Wameishiwa. Sasa wanafunzi hao wapo kwenye juma la nane tangu wafungue chuo. Walipofika walipewa fedha za kujikimu kwa ajili ya miezi miwili ya mwanzo ambayo tayari imeshakwisha.Sasa kula na kunywa ni mbinde.
Jana,kulikuwa na rabsha za hapa na pale UDSM wakati wanafunzi walipojaribu kushinikiza kupewa 'boom' lao lililobakia. Hali hii haiwezi kusababisha kashfa kama ya UDOM? Kwanini Bodi ya Mikopo inapiga danadana huku mafisadi yakiendelea kuiba tu? Wanachuo msikubali.Pambaneni mpate haki yenu.Nina wasiwasi mkuu...
Miezi miwili haijaisha Mkuu UDSM walifungua tarehe 8/10/2012 na leo ni tarehe 30/11/2012. Kuna wiki moja imebaki ili wapewe boom la pili na kwa hiyo walioishiwa hawakutumia vizuri pesa walizopewa. Pesa za awamu ya pili wanapaswa kupewa tarehe 8/12 na ni vizuri wakasubiri hiyo siku kuliko kuchukua mapema maisha yatakuja kuwakaba wakati wa UE.
Well said, ni tabia tu mkuu! Si kwa wanafunzi wa kike tu hata wa kiume wana tatizo hilo, hivi mtu unawezaje kuseme ulikutana naye Billicana ukalala naye sijuhi wapi? Kesho yako mnakutaka sijuhi Nkuruma au Theater gani - kumbe nyie wote ni wanafuzi, why pick on ladies kama hakuna wateja kazi yao hiyo inaweza kuwa sustained kweli? WOTE NI WAZINZI TU - msilahumu wanawake peke YAO.Haaaaaaaaaaaa DS 101 na Nkurumah tena au Theater I au II.......Ugumu wa maisha sio ndio 7bu ya kujiuza,kama wana ukata wauze simu au waweke bondi tv,radio,laptop ili waweze kujikimu....
Well said, ni tabia tu mkuu! Si kwa wanafunzi wa kike tu hata wa kiume wana tatizo hilo, hivi mtu unawezaje kuseme ulikutana naye Billicana ukalala naye sijuhi wapi? Kesho yako mnakutaka sijuhi Nkuruma au Theater gani - kumbe nyie wote ni wanafuzi, why pick on ladies kama hakuna wateja kazi yao hiyo inaweza kuwa sustained kweli? WOTE NI WAZINZI TU - msilahumu wanawake peke YAO.
ha ha ha ha ha hii kalisana mkuuwacheni wajiuze uchumi wanao big up wanatusaidia sana siye madomo zege tusipige puli!