UDOM wajiuza, UDSM waanza

UDOM wajiuza, UDSM waanza

Nimefuatilia kwa makini hii kashfa ya ngono isiyo halali Udom nimegundua mwandishi wa habari hizo hakufanya uchunguzi wa kina hivyo hana hoja (no research no say) anataka kuchafua sifa nzuri ya chuo hicho.

sifa nzuri ipi mkuu inayotaka kuchafuliwa?
 
Tabia ya ukahaba si kwa sababu ya kukosa hela za kujikimu bali kuna mambo mengi yanayochangia; kweli baadhi yao ni umaskini lakini wengine ni nature yao au maisha ya kuiga kwamba mtu ametoka kijijini asipofanya kama fulani ataonekana mshamba sana....... Duh, wajameni tanyesco wamekata umeme wao BYE.
 
Huku Chuo Kikuu cha Dodoma-UDOM kikiandamwa na kashfa ya wanafunzi wake wa kike kujiuza kwa ajili ya kujikimu,hali ndani ya Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam-UDSM si shwari. Wanafunzi wa UDSM sasa wapo kwenye hali mbaya kiuchumi.Wameishiwa. Sasa wanafunzi hao wapo kwenye juma la nane tangu wafungue chuo. Walipofika walipewa fedha za kujikimu kwa ajili ya miezi miwili ya mwanzo ambayo tayari imeshakwisha.Sasa kula na kunywa ni mbinde.


Jana,kulikuwa na rabsha za hapa na pale UDSM wakati wanafunzi walipojaribu kushinikiza kupewa 'boom' lao lililobakia. Hali hii haiwezi kusababisha kashfa kama ya UDOM? Kwanini Bodi ya Mikopo inapiga danadana huku mafisadi yakiendelea kuiba tu? Wanachuo msikubali.Pambaneni mpate haki yenu.Nina wasiwasi mkuu...

Miezi miwili haijaisha Mkuu UDSM walifungua tarehe 8/10/2012 na leo ni tarehe 30/11/2012. Kuna wiki moja imebaki ili wapewe boom la pili na kwa hiyo walioishiwa hawakutumia vizuri pesa walizopewa. Pesa za awamu ya pili wanapaswa kupewa tarehe 8/12 na ni vizuri wakasubiri hiyo siku kuliko kuchukua mapema maisha yatakuja kuwakaba wakati wa UE.
 
Miezi miwili haijaisha Mkuu UDSM walifungua tarehe 8/10/2012 na leo ni tarehe 30/11/2012. Kuna wiki moja imebaki ili wapewe boom la pili na kwa hiyo walioishiwa hawakutumia vizuri pesa walizopewa. Pesa za awamu ya pili wanapaswa kupewa tarehe 8/12 na ni vizuri wakasubiri hiyo siku kuliko kuchukua mapema maisha yatakuja kuwakaba wakati wa UE.

Hizo ndiyo tarehe wanatakiwa wazishike, kama wamesahau basi copy and paste siyo unatumbua pesa kwa bwasheeee mtori na vyuku kila siku then ukiishiwa unataka wote waishiwe. Kujiuza kunatokana na wateja wengi kutokujua kutongoza, ndiyo maana siku hizi kumeongezeka.
 
  • Thanks
Reactions: SG8
Hata madada wanojiuza mitaani ni very intelligent katika kutafuta soko wanaangalia wateja wanataka watu wa aina gani basi kama wateja wao wanapenda wana chuo basi hata wao wanauwezo wa kupretend kama wanachuo.all in all hata wanachuo wapo lakini hii ni tabia ya mtu ya kutaka kuishi above capacity au uwezo wake kiuchumi.
Hapo hapo chuoni kuna kaankojifanya kakidume kanammiliki du wanaume wachuo tujiangalie katika kujifanya tunamiliki mademu wakali chuoni siyo sifa nzuri sifa ni kuchana masomo kihalali
 
bum lishaingizwa kwenye akaunt ya chuo (udsm) tangu tarehe 13 nov 2012, kwa cheki namba 4559.
ila nimeona kama kuna mchakato wa kusain kabla, nahis baada ya zoezi la kusain pesa zitaingizwa
 
Acheni kuwasingiziia watoto wa wa2,kama umalaya upo kwa staili zake tangu miaka hiyo,huyo mwandishi uchwara ana morbid pyschology.kakrupuka 2...anaripoti habari za kuelea...
 
Sifa ya kwanza ya UDOM ni katka taaluma inayotolewa na ya pili ni aina ya watu wanoozalishwa hapo ni wachapakazi nk. Ninahisi kinachoendelea hapa ni kukichafua lkn ww unayeshabikia dada yako anaweza kwenda soma pale tu.... generalise?
 
Haaaaaaaaaaaa DS 101 na Nkurumah tena au Theater I au II.......Ugumu wa maisha sio ndio 7bu ya kujiuza,kama wana ukata wauze simu au waweke bondi tv,radio,laptop ili waweze kujikimu....
Well said, ni tabia tu mkuu! Si kwa wanafunzi wa kike tu hata wa kiume wana tatizo hilo, hivi mtu unawezaje kuseme ulikutana naye Billicana ukalala naye sijuhi wapi? Kesho yako mnakutaka sijuhi Nkuruma au Theater gani - kumbe nyie wote ni wanafuzi, why pick on ladies kama hakuna wateja kazi yao hiyo inaweza kuwa sustained kweli? WOTE NI WAZINZI TU - msilahumu wanawake peke YAO.
 
Well said, ni tabia tu mkuu! Si kwa wanafunzi wa kike tu hata wa kiume wana tatizo hilo, hivi mtu unawezaje kuseme ulikutana naye Billicana ukalala naye sijuhi wapi? Kesho yako mnakutaka sijuhi Nkuruma au Theater gani - kumbe nyie wote ni wanafuzi, why pick on ladies kama hakuna wateja kazi yao hiyo inaweza kuwa sustained kweli? WOTE NI WAZINZI TU - msilahumu wanawake peke YAO.

well said.
 
Wacheni wajiuze uchumi wanao big up wanatusaidia sana siye madomo zege tusipige puli!
 
Tumuombe MOLA anusuru kwani hali si nzuri,bado tunaadhimisha siku ya UKIMWI,kwa hali hii tutafika kweli? Hii ndo sirikali yetu na si serikali...
 
Binti akijiuza mwanaume akamnunua hawa wawili wote wako sokoni, huwezi ukapata shida kidogo ukakimbilia umalaya, vipi ukianza kazina mshara ukaumaliza tarehe kumi hizi ishirini utajiuza kusubiria salary?...... Hela haikutoka ya siku sitini ilitoka ya siku ambazo ilipaswa kutoka, tusizoee kusema uongo faida yake ni nini? Tukilaumu serikali kuchelewesha pesa na kwamba hawajui kuzingatia wakati sisi twazingatia? maana shughuli ikopale ambako twatakiwa kukusanya assignment zetu na nusu ya darasa haijamaliza na kuanza visingizio! tunaanza kutokuheshimu muda mapema sana hata tukifika huko juu hatuwezi kubadilika! We are suppose to change so we can induce changes to the rest!
 
Back
Top Bottom