UDOM wanakimbiza kwenye soko la ajira

Vijana wa udom kwenye tehama Ata Mimi na wakubali Sana wapo vizuri
Ila Ata kwenye elimu na jamaa angu ni headmaster ananiambiaga wapo vizuri Sana
Nahisi kilichokuwa kinahiaribia ni uongozi uliokuwepo hapo awali

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
 
Kwenye tehama wamekuja na nini kipya?
 
Waliopo vizuri kitehama hawakimbili hizo ajira za huko,hizo ni za watu wa uwezo wa chini mkuu…Vipanga wapo kwenye taasisi kubwa kama Nmb,Vodacom n.k nje ya nchi….Kwahiyo point yako haina mashiko
 
Udom nacho ni chuo ama chuo kishiriki??
Tunakionea huruma tu tuwape ajira, yani DIT yenyewe huwawezi daaaah ngoja nikae kimya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…