UDOM yakabiliwa na uhaba wa wanafunzi

yaasary

Senior Member
Joined
Mar 26, 2011
Posts
110
Reaction score
59
kwa maelezo yaliyotolewa na makamu mkuu wa wa chuo kikuu cha dodoma (UDOM), anasema kuwa matokeo mabaya ya kidato cha nne na sita kimesababisha UDOM kukosa idadi ya kutosha ya wanafunzi kulingana na uwezo wa chuo hicho

SOURCE, TBC-Taifa ( dira ya mchana) oct 8, 2013
 
Siyo lazima wadahili watu wa shahada.....kuna stashahada, na cheti hizi kada za kati nazo muhimu zinatakiwa....
 
Ni vema waangalie hata wanafunzi kukosa loan nayo ni sababu mojawapo mf. Mi cijaenda st.joseph kwa sababu loan cina na cina uwezo wa kulipa nasubir mwakan niombe kwa kutumia equivalent lakn ciyo issue naendelea na kaz up to next year
 
wanampango pagi xaxa ni vip kuhusu vyuo vingine au ni wao 2
 
Bora tu wakose hao wanafunzi maana chuo cha UDOM yanasemwa mengi mno ! Yenye mwelekeo wa ki....................................... (nisije nikaharibu hewa humu ndani ngoja nikae kimya )
 
Rushwa imeingilia kila kitu, chuo kama UDOM siyo chuo cha kukosa wanafunzi, kuna chuo fulani hapa nchini mwaka huu kimepewa wanafunzi wengi sana zaidi ya elfu 1 na upuuzi baada ya waziri mwenye dhamana kupewa fungu la kutosha na mkuru wa tcu kula mgao wake, cheza wewe hii nd' Tz
 

Mkuu hebu lete habari kamili hapa tuokoe nchi yetu kwa hao wapenda mgao wa mafungu yao
 

wazee wa MUM vp hawajaangukiwa mwk huu?
 
Na tuliochaguliwa tumekosa mkopo kwahiyo hatutasoma mwaka huu. Ahsante kwa kutupa nafasi ila ndio hivyo tena watoto wa masikini tumekosa mkopo.
 
Nasikia room za kumwaga,sijui nikifika hiyo oct 12 nianzishe kamradi fulan??
 
Mkuu hebu lete habari kamili hapa tuokoe nchi yetu kwa hao wapenda mgao wa mafungu yao
Nikileta habari kamili huyu mtu aliyevujisha hii kitu kitumbua chake kitaingia mchanga na watamng'oa meno bila ganzi.... ila hiki chuo ni cha kufanyiwa kazi!
 
Duh yan kata unversty wamekosa wat mwka huu wakat apo ndo kimbilio la wakosefu kwl majanga 3 za mwsho ndo mahal pao vp mwaka huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…