UDOM yasogeza mbele ALIS

UDOM yasogeza mbele ALIS

p.col

Senior Member
Joined
Jul 29, 2014
Posts
172
Reaction score
27
Admission letters for degree programmes & special programmes diploma in science, mathematics and ict education will be available for download from thursday 02/10/2014 from 16:00for certificate and diploma programmes that are not mentioned above, follow below instruction to get your admission letter and other required documents
 
Kuna watu tumechaguliwa huko udom bt confirmation status bado hazieleweki tunambiwa tusubirie kwamba chuo ndo wanafanya hvyo so ni vipi hapo tusaidiane ili tujue
 
yani mwaka huu mambo hovyo hovyo tu,hivi allocation ya mikopo tayari?
 
kuna mdau ameshatupia thread yenye second batches xo icheck hiyo
 
Back
Top Bottom