Hebu elezea kwa undani kidogo maana hii ishu ni kubwa kwa sisi wenye ndugu waliochaguliwa huko UDOM!walikuwa admitted lakini chuo wanasema nafasi zimejaa,inackitisha kutokuwa na mawasiliano kati ya chuo na tcu!
Habari hii umeitoa wapi?maana chuo kina hostel nyingi mno