UDOM yawanyima raha wanafunzi wake

UDOM yawanyima raha wanafunzi wake

Ulamaa Hemed

Senior Member
Joined
Sep 21, 2012
Posts
159
Reaction score
16
Wanafunzi wa UDOM wanakosa raha kutokana na kutopata matokeo ya mitihani yao waliofanya mwezi wa Jun, Wanafunzi wanatakiwa kufanya supplementary kuanzia tarehe 15 October lkn bado hawajapata matokeo yao, hali hii inawafanya washindwe kujiandaa na mitihani hiyo.
 
Kazi hapa ipo,lakini hebu hao wanafunzi wajaribu kuwaconsult student's government labda wanaweza kufuatilia na kuwapa majibu yenye matumaini,lakini humu jamvini utaambulia mipacho 'mara chuo cha kata' nk
 
Back
Top Bottom