Ulamaa Hemed
Senior Member
- Sep 21, 2012
- 159
- 16
Wanafunzi wa UDOM wanakosa raha kutokana na kutopata matokeo ya mitihani yao waliofanya mwezi wa Jun, Wanafunzi wanatakiwa kufanya supplementary kuanzia tarehe 15 October lkn bado hawajapata matokeo yao, hali hii inawafanya washindwe kujiandaa na mitihani hiyo.