Udom

CHAMVIGA

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
7,687
Reaction score
2,240
Zimebakia siku chache for the first tym vijana wapya kwenda kushuhudia na kupata elimu ya chuo kikuu,vijana wanahamu sana ya kufika dodoma university kwakuanza safari nyingine ya makamuzi lengo Gpa.GOD SIMAMIA vijana kupata elimu ili kujikomboa na kulikomboa taifa hili.
 
hatimaye zimebakia siku tatu for the first tym kwenda kushuhudia chuo kikuu,ninahamu sana ya kufika dom kwakuanza safari nyingine ya makamuzi lengo gpa.god simamia mm.

god simamia sisi.
 
Pole sana udom ni janga la taifa,chuo cha kata wala sina hamu na udom
 
Pole sana udom ni janga la taifa,chuo cha kata wala sina hamu na udom

akili yako finyu sana, inawezekana hata udom kwenyewe haujafika.
Hakuna chuo mfano wake afrika mashariki na kati.

Madogo nendeni mkasome, mwisho wa siku inaangaliwa ufaulu wako na wala sio chuo ulichosoma.

Udom sasahivi imeimarika sana, miundombinu yote imeshakamilika, kuanzia malazi, maktaba, maabara, usafiri, waalim, viwanja vya michezo mpaka mabwawa ya kuogelea.

Mkifika msibabaishwe na mapenzi manake kuna maelfu ya mabinti wa kila namna,
komaeni mtengeneze gpa.

Ulevi na wanawake ndio mtihani mkubwa.
All the best!
 
Pole sana udom ni janga la taifa,chuo cha kata wala sina hamu na udom

binafsi cna wasiwasi kwani o level nimekipiga shule ya kata na advance ni kulekule mwisho wa siku nimesoma chuo cha kata km unavyodai mm naona fresh.
 

asante mkuu.
 
Mkifika msome sana wadogo zangu si mnaonma nchi yenyewe ambavyo haieleweki
 
UDOM ipi unazungumzia? maana kwa ulivyopania natamani nikutafute baada ya Mwezi utakavyokuwa umepoa baada ya kubadilishwa na UDOM
 

Huo ni mfumo dume, kwanini unawausia wanaume tu ilhali wanafunzi waaokwenda kusoma vyuoni ni wanaume na wanawake?
 
Nipo njiani frod nairobi to arusha them kesho arusha to dom.p1 sana
 
Pole sana udom ni janga la taifa,chuo cha kata wala sina hamu na udom

Ficha upumbavu wako usiifiche hekima yako (@invisible)

Kama unaamini poverty is a WMD, huu wa kifikra ulio nao unazidi hata WMD
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…