ndugu yangu uliyetaka kujua kuhusu college ya medicine ni kwamba kwanza kuhusu walimu ni kwamba wapo wa kutosha na wanaajiriwa kila mwaka. uzuri wa udom ni kwamba kila college inajitegemea kila kitu kama vile hostel, walimu, madarasa nk. pia pale medicine wanapaboresha ile mbaya, kwa sasa kuna hospitali ya kisasa inaendelea kujengwa, hii itakuwa kwa ajili ya mafunzo kwa vitendo na pia vigogo wote watatibiwa hapa na hakuna kupelekwa india. all the best na ukiwa udom utaenjoy