UDOMU mwaka wa tatu soma hapa

UDOMU mwaka wa tatu soma hapa

2simamesote

Senior Member
Joined
Jun 27, 2011
Posts
109
Reaction score
13
TAARIFA KWA WANAFUNZI WOTE WA MWAKA WA TATU CHUO CHA SANAA
NA SAYANSI ZA JAMII; CHUO KIKUU CHA DODOMA
WANAFUNZI WOTE WA MWAKA WA TATU CHUO CHA SANAA NA SAYANSI ZA JAMII
WALIOSIMAMISHWA MASOMO WANAJULISHWA KWAMBA WANATAKIWA KURIPOTI
CHUONI SIKU YA JUMAMOSI TAREHE O2/07/2011 SAA 4 (NNE) ASUBUHI ISIPOKUWA
WANAFUNZI WAFUATAO:
(A)WALE AMBAO WANADAIWA ADA, GHARAMA ZA MALAZI, MITIHANI NA
GHARAMA NYINGINE
(B) HAWA 15 WALIOTAJWA HAPA CHINI AMBAO WATAPEWA TAARIFA ZAO
BINAFSI NA MAMLAKA HUSIKA
NA
.
JINA KAMILI JINSI NAMBA YA USAJILI KOZI
1 TINDO, Salumu M T/UDOM/2008/01362 BAPSPA
2 TAIRO, Edwin D. M T/UDOM/2008/04784 BBA
3 NGAIZA, Paschal M T/UDOM/2008/02895 BAPSPA
4 MESSO, Baraka M T/UDOM/2008/03807 BAPSPA
5 MELCHIORY, Very M T/UDOM/2008/03588 BAIR
6 EMMANUEL, Vincent M T/UDOM/2008/02698 BADS
7 BONIFACE, Alfred M T/UDOM/2008/03692 BASO
8 MUSHI, Alex N M T/UDOM/2008/07514 BCOMACC
9 MSANGI, Geofrey M T/UDOM/2008/05990 BAEC
10 JULIUS, Samora Mnyonga M T/UDOM/2008/04493 BAPPM&CD
11 BARADYANA, Romano M T/UDOM/2008/02768 BAPSPA
12 GOODNESS, Moses F T/UDOM/2008/04482 BAPPM&CD
13 SELEMAN,Bakari(KATANGA) M T/UDOM/2008/02854 BAPSPA
14 ALLY, Hassan M T/UDOM/2008/02842 BAPSPA
15 SHAABAN, Mustafa M T/UDOM/2008/07456 BAEC&ST
KWA TAARIFA HII WANAJULISHWA KUWA USAJILI UTAFANYIKA SIKU YA JUMAMOSI
TAREHE 02/07/2011 NA JUMAPILI TAREHE 03/07/2011 TU. KILA MWANAFUNZI
ANATAKIWA KUJA NA NAKALA HALISI ZA VITHIBITISHO VYA MALIPO YA ADA NA
GHARAMA NYINGINE AMBAZO ALIKUWA AKIDAIWA. MWANAFUNZI AMBAYE
HATATIMIZA MASHARTI HAYA HATAPOKELEWA CHUONI. MITIHANI ITAANZA
JUMATATU TAREHE 04/07/2011 ASUBUHI
SEHEMU MAALUM YA MAPOKEZI NA USAJILI ITAKUWA KWENYE KIWANJA CHA
MPIRA WA MIGUU KILICHOPO MITA MIA MBILI KUTOKA OFISI ZA MAMLAKA YA MAJI
SAFI NA MAJI TAKA DODOMA (DUWASA), MKABALA NA ZINAPOJENGWA OFISI ZA
BENKI KUU YA TANZANIA
IMETOLEWA NA OFISI YA MAKAM MKUU WA CHUO
CHUO KIKUU CHA DODOMA
 
Ina maana usajili haufanyikii chuon au me ndio sijaelewa mkuu?
 
Hapa kuna kila harufu ya uonezi. Mwanafunzi ategemewa vipi kukamilisha taratibu zote za kusajiliwa upya chuoni Juma2 na Juma3 awe tayari ashajiandaa kwa mitihani ya chuo.
 
Ina maana usajili haufanyikii chuon au me ndio sijaelewa mkuu?
Ndio,utafanyika hapo uwanjani,lengo wasilete noma wamewatimua alex na tairo kisa eti ni wana cdm,ukweli hawakushiriki hata kidogo
 
Ndio,utafanyika hapo uwanjani,lengo wasilete noma wamewatimua alex na tairo kisa eti ni wana cdm,ukweli hawakushiriki hata kidogo
me co mwana udom mkuu,so hao kna alex na tairo cwajui,dah!inauma kchiz,yan m2 umefka 3rd yr then unafukuzwa,it means ukaanze chuo kngne upya!
 
Tatizo udom kunji lenu huwa liko disorgenized sana tofauti na udsm ambapo likianzshwa hakuna cha huyu alishirik au huyu hakushirik ni wote.
 
Aksante kaka kwa post yako.ua a great thinker..mi sio mwana udom ila nimeflai kupata habal hi kwan mdogo angu ndo anasoma na nnazan hajaipata maana yupo kwetu mbwinde chilindi.
 
Aksante kaka kwa post yako.ua a great thinker..mi sio mwana udom ila nimeflai kupata habal hi kwan mdogo angu ndo anasoma na nnazan hajaipata maana yupo kwetu mbwinde chilindi.
mbwinde chilindi iko tanzania mkuu?
 
Back
Top Bottom