Udongo huu ni sababu ya watu wengi kugoma kuhama Dar es salaam.

Udongo huu ni sababu ya watu wengi kugoma kuhama Dar es salaam.

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
4,869
Reaction score
13,137
images (1).jpeg
Sababu zipo nyingi ila huu udongo una percentage zake kuwafanya wadau wagome kurudi kwao wengine kugoma kabisa kwenda kwenye vituo vya kazi walivyopangiwa Kuna dada zetu ni heri ndoa ivunjike kuliko kumpeleka kuishi kwenye udongo wa design hiyo.

images.jpeg
 
View attachment 3203432Sababu zipo nyingi ila huu udongo una percentage zake kuwafanya wadau wagome kurudi kwao wengine kugoma kabisa kwenda kwenye vituo vya kazi walivyopangiwa Kuna dada zetu ni heri ndoa ivunjike kuliko kumpeleka kuishi kwenye udongo wa design hiyo.

View attachment 3203434
Udongo mali safi huo... Huwezi ukuta jangwani Daslam maji hadi saa nane usiku
 
Wapo wamegundua MBINU za kupata hela bila kufanya kazi ni kufanya uchawa, levo, jaku, nara, pimbi,.sechu hizo.zote ni made in kigoma na ni machawa wazoefu
 
Kwa taarifa yako unapouona udongo huo basi ujue ardhi yake ina rutuba.. Na hali ya hewa ni nzurii.. Ya ubaridii
Sio kweli, kama kibondo hapo Kuna rutuba Gani, Kuna maendeleo Gani mpaka najiuliza watu wa huko wanewezaje kusavavu wazingira ya namna ile
 
Back
Top Bottom