UDOOOOOOM ni uozo mtupu

Itafika hatua kwenye job vacancies utaambiwa except students from udom
 
[h=6]nimevumilia nimechoka bora kusema ukweli; hii nchi kuna uzembe,ujinga na majina yanayofanania..
1. unamaliza chuo unagraduate hata trancripts bado..hiyo haitoshi chet had 1 yr ipite.. tutafika????
Nitajie vyuo ambavyo vimeshatoa vyeti hadi leo hii
2. mahali uliposoma wanatangaza kazi unaapply hawachukui wakufunz wake wanaajili wengne..c matope hayo!!!asa mnafanya nin basi fungeni hizo institute zenu..hazina msaada
Kwa hy hata kama kuna watu wanasifa zaidi ya hao graduates wa hapo wasichukuliwe?
3. wanaleta malecturer kutoka nje wakati watz kibao wamefauru vzur na hawana kazi...wanatengeneza nin hapo...watz watapata kaz nje pia????na wanawafundsha wa nin kama hawawaamini...fungeni hivo vyuo mtutafutie vya majuu
Si kila aliyefaulu vizuri anajua kufundisha.
 
Itafika hatua kwenye job vacancies utaambiwa except students from udom

kijana utakuwa unatumia masaburi kufikiri ...basi ukute hapo umesoma zoom polytechnic ukajiona upo chuo kweli...pendeni vya ndani especially tunapoingia kwe jumuia ya africa mashariki...
 
Kama ni hivi basi sio kosa la uwepo wa UDOM bali tatizo ni mfumo mzima uliopo serkalini sasa kwani mambo ya kielimu baadhi ya watu masaburi wameyaharibu kutokana na Polical interest zao but cha muhimu wanafunzi wa hapo UDO msikate tamaa.
FRREDOM IS COMING TOMMOROW
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…