Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitajie vyuo ambavyo vimeshatoa vyeti hadi leo hii[h=6]nimevumilia nimechoka bora kusema ukweli; hii nchi kuna uzembe,ujinga na majina yanayofanania..
1. unamaliza chuo unagraduate hata trancripts bado..hiyo haitoshi chet had 1 yr ipite.. tutafika????
Kwa hy hata kama kuna watu wanasifa zaidi ya hao graduates wa hapo wasichukuliwe?2. mahali uliposoma wanatangaza kazi unaapply hawachukui wakufunz wake wanaajili wengne..c matope hayo!!!asa mnafanya nin basi fungeni hizo institute zenu..hazina msaada
Si kila aliyefaulu vizuri anajua kufundisha.3. wanaleta malecturer kutoka nje wakati watz kibao wamefauru vzur na hawana kazi...wanatengeneza nin hapo...watz watapata kaz nje pia????na wanawafundsha wa nin kama hawawaamini...fungeni hivo vyuo mtutafutie vya majuu
Itafika hatua kwenye job vacancies utaambiwa except students from udom