GE2025 UDP kugawa nusu mshahara wa rais kwa wananchi, umeme na maji bure

GE2025 UDP kugawa nusu mshahara wa rais kwa wananchi, umeme na maji bure

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
Chama cha Siasa cha UDP (United Democratic Party) kimeahidi mageuzi makubwa ya kiuchumi na kiutawala, ikiwemo kutoa asilimia 50 ya mshahara wa Rais moja kwa moja kwa wananchi kwa ajili ya kutekeleza shughuli za maendeleo.

Ahadi hiyo ya kufurahisha, pamoja na ile ya kutoa umeme na maji bure kwa Watanzania wote, imetolewa na Mgombea Urais kwa tiketi ya chama hicho, Bi. Saum Hussein Rashid, Septemba 26, 2025, wakati akitoa sera za chama katika Mkutano wa Kampeni uliofanyika Uwanja Mdogo wa Nyuki, Maili Moja, Kibaha Mkoani Pwani.

 
Back
Top Bottom