UDSM.baada ya boom kuingia leo mchana sasa ni zamu daruso(serikali wa wanafunzi) kung'olewa


makubwa heli nusu shali.
 
waliomaliza zamani,sikuizi kuna majengo mapya ya mchina dizaini ya yale ya Udom yanaitwa yombo4 na yombo5..hayana mwaka yana nyufa.
 
mgomo unaendelea na police wametanda maeneo ya ubungo kuelekea chuo.leo ni zamu ya coeti kunji la leo linaonekana kufana,coet wote wanaandamana kwenye viunga vya chuo..kwa hali iliyopo inaonekana coet wengi wao wamenyimwa boom lilitoka jana,huu ubaguzi sijui umetoka wapi yaana cass wanapata wote boom lakini coet hawapewi..
 
Hebu nifafanue utaratibu mpya wa UTOAJ MIKOPO
 
Du mwendo mchibuyu kama mbwai mbwai bil 64 wamezichakachua hv hv..Komaeni ila hakikisheni mnachoma hata Jengo moja la utawala.

bil. 64 zitarudi kwa wanafunzi kuwachapa wenzao walioko madarasani?
Be reasonable mkaka, harakati hizi kwangu huwa ni mmavi mmavi. Huwezi kuleta boom kwa kulazimisha watu wakuunge mkono.
Mbona Al-Shaabab alimwaga sera za kueleweka, watu wakaitikia bila kulazimishwa!
 

si kweli kwamba DARUSO haifanyi chochote. Tangu chaos zianze kumekuwa na vikao zaidi ya 20 kuhakikisha boom linaingia kwa muda ili kukinusuru chuo na mgomo. Kuhusu waliosimamishwa ni kuwa Ijumaa ilikuwa imeafikiwa kuwa wale wenye kesi warudi masomoni mpaka kesi zao zitakapokwisha. Forth they say 'Everybody is innocent untill proven guilty(na mahakama I guess)'.
Labda ungeniambia kuwa juhudi zao zimekuwa ni ndogo na hazijaleta matunda adequate na accurate.
 
Hebu nifafanue utaratibu mpya wa UTOAJ MIKOPO

yaani kilichotekea ni kwamba jana baada ya wanachuo kupiga kambi utawala,saa 7 mchana CASS NA College nyingne wakapewa ela,lakini COET wao hawakupata,ndo maana leo wamepachua tena hadi sasa hakuna huduma ya chakura wa masomo kuendelea,inasemekana ela zinafanyiwa biashara sasa baada ya hali ya hewa kuchafuka jana,utawala wakapima mchezo wakagundua wakiwanyima CASS hali itakua mbaya zaidi,wakawapa wao COET wakakosa.
 

wanadai kipindi kile cha uongozi wa kipara,viongozi walijitokeza waziwazi kutoa misimamo na juhudi za hadharani,lakini huu uongozi wa kilawa ni legelege zaidi kwani wao wanaishia kuweka mabandiko lakini hawajitokezi kuongea na wanaowaongoza hasahasa kipindi hiki cha matatizo.
 
So u mean hata mkandara anajua kuwa pesa hufanyiwa biashara au ni tetesi
 
Siasa za udsm!
 

maybe there comes a problem.
Huwa hawazungumzi na raia, ila kuna siku Spika alikuja rev. square kutoa msimamo wa ofisi yake kuhusu madenti waliofungwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…