UDSM Best Student: Je, ni GPA gani inatumika kumpata Best Student, Commulative au Aggregate GPA?

UDSM Best Student: Je, ni GPA gani inatumika kumpata Best Student, Commulative au Aggregate GPA?

Lenin23

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2022
Posts
209
Reaction score
341
Habari za wakati huu,

Ninapenda kujuzwa kuhusiana na ili suala . Nimeona cheti cha best student mmoja katika college fulani ya UDSM ana aggreagate GPA of 4.3 meaning First year 4.0, second year 4.5 and third year 4.6 aggregateya zote tatu ni 4.3 lakini commulative GPA yake kwenye cheti inasoma 4.6.

Mimi chuo nilichosomea hapo zamani ilikuwa inachukuliwa aggregate GPA hi ya kipindi hiki imeekaaje , naomba mwenye maarifa kuhusu hili anieleweshe kidogo
 
IMG_20250519_170934.jpg
 
Back
Top Bottom