UDSM chapaa Afrika;sasa cha sita!

Hata hii ni habari Mkuu.Lakini mimi si pimbi. Ni vyema tukajua hata habari kama hizi ili kuendelea na maisha. Siku nyingine ukiniita pimbi,utajilaumu sana kufanya hivyo!

Mkuu Petro, nimependa sana busara zako. Nilitegemea jibu tofauti ila kwa kweli umejibu kistaarabu sana. Ni kweli hii nayo ni habari na sioni ubaya wa kujulishana mambo kama haya. Je kingekuwa cha mwisho ndio ingekuwa habari????
 
Una maana ya kuwa hivyo vyuo vyingine vya Tanzania ukitoa UDSM na HKU hata na web visibility umewashinda - havijulikani? Lakini naona wewe hata haujui maana na vigezo vya "web visibility" academically.

WEB VISIBILITY inaingilianaje na ACADEMICs?! Web visibility ni wanangalia popuralty ya chuo kwa major search engines hasa GuGO,w2 wangap wanasearch Jina UDSM kwa gugo dunia nzima..
 
Sawa mkuu lakini by any measure UDSM or its alumni have to celebrate that
 
WEB VISIBILITY inaingilianaje na ACADEMICs?! Web visibility ni wanangalia popuralty ya chuo kwa major search engines hasa GuGO,w2 wangap wanasearch Jina UDSM kwa gugo dunia nzima..
Na watu wengi hawawezi kusearch kitu, in this case chuo ambacho ni academically poor. Although the two are not neccessarily connected or interdependent.
 
WEB VISIBILITY inaingilianaje na ACADEMICs?! Web visibility ni wanangalia popuralty ya chuo kwa major search engines hasa GuGO,w2 wangap wanasearch Jina UDSM kwa gugo dunia nzima..

kwa nin hao watu wasisearch tumaini,muccobs,mzumbe au sua?hyo ina maana kwamba hata huko nje wanajua tz vyuo bora ni viwili tu yaani udsm na hubert kairuki.nadhani after few years udom nayo itakua miongoni mwa vyuo bora hapa tz.over
 
Weakness ya UDSM (pamoja na system ya elimu yetu apa Tanzania) haiwaandai wanao graduate kuwa innovative (wabunifu) bali wengi wanatoka pale kwanza wako very poor in communicating and self confidence na wamekariri matokea yake tunapata very average graduates na kama hakitafanywa kitu pale UDSM tutashindwa ku-cope na kasi ya maendeleo ya dunia tukilinganishwa na majirani zetu au ata US & EU.....
 
WEB VISIBILITY inaingilianaje na ACADEMICs?! Web visibility ni wanangalia popuralty ya chuo kwa major search engines hasa GuGO,w2 wangap wanasearch Jina UDSM kwa gugo dunia nzima..

nI ZAIDI YA ULICHOKISEMA HAPO JUU. Pia wanaangalia how academically are rich is the information and files that are in a particular web site ya University e.g information on research done and published materials etc
 
Kuna mahali Mkuu niliposema UDSM imekuwa ya sita kitaaluma?
 
Jamani ndugu zenu tunaopita hivi vya huku nyuma tunaumia mwee! ..watani zetu wanaumia sana jamani na UDSM.
 
"Being the 4icu.org University Web Ranking a non-academic ranking, the need for ranking methodology transparency and the ability of testing and reproducing the results, as suggested by the Berlin Principles on Ranking of Higher Education Institutions, is less stringent than for academic rankings.

The aim of this website is to provide an approximate popularity ranking of world Universities and Colleges based upon the popularity of their websites. This is intended to help international students and academic staff to understand how popular a specific University/College is in a foreign country.

We do not claim - by any means - to rank organisations or their programs, by the quality of education or level of services provided. The 4icu.org University Web Ranking is not an academic ranking and should not be adopted as the main criteria for selecting a higher education organization where to study."
 
Sawa mkuu lakini by any measure UDSM or its alumni have to celebrate that

Nakubaliana na wewe kaka maana ni ukweli usiofichika kuwa UDSM ni miongoni mwa vyuo bora Africa lakini nilitaka kuliweka sawa hili tu ili wote tuelewane tunachokiongelea.
 
Kuna mahali Mkuu niliposema UDSM imekuwa ya sita kitaaluma?

Kiongozi wangu kwani na mimi nimesema umesema kuwa ni ya sita kwa ubora kitaaluma? Taarifa yako mkuu haikuwa imekamilika ilitakiwa useme ni chuo cha 6 kwa ubora upi maana wewe ulisema ni cha 6 ambapo yeyote asiyejua atafikiri ni cha sita kwa ubora wa elimu yake lakini kumbe ni vitu tofauti.
 
Vitivo vya UDSM pamoja na wahitimu wake vimetengeneza nini katika miaka kumi iliyopita?

Kuna mashine, dawa, mfumo au utafiti gani muhimu tuliopata ambao umeleta matunda yanayoonekana ambayo yasingewezekana vinginevyo?
 
Kwahiyo mkuu ni bora hata ya SUA waliovumbua mradi wa panya wa kutegua mabomu na kutambua vijidudu vya tuberculosis eenh??
 
Kwahiyo mkuu ni bora hata ya SUA waliovumbua mradi wa panya wa kutegua mabomu na kutambua vijidudu vya tuberculosis eenh??

Mimi nimeuliza, sijapata jibu. Labda tunaweza kuorodhesha, kuainisha na kulinganisha.
 
kwa nin hao watu wasisearch tumaini,muccobs,mzumbe au sua?hyo ina maana kwamba hata huko nje wanajua tz vyuo bora ni viwili tu yaani udsm na hubert kairuki.nadhani after few years udom nayo itakua miongoni mwa vyuo bora hapa tz.over
:A S angry:....
 
Kuna mahali Mkuu niliposema UDSM imekuwa ya sita kitaaluma?
lakin hakuna sehem uliyosema ni kwa nini UDSM ni ya sita!!!! nadhan ulitakiwa kutoa full information na sio taarifa kama za vijuweni!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…