Mtumishi Mkuu
JF-Expert Member
- Mar 31, 2011
- 259
- 92
Hata hii ni habari Mkuu.Lakini mimi si pimbi. Ni vyema tukajua hata habari kama hizi ili kuendelea na maisha. Siku nyingine ukiniita pimbi,utajilaumu sana kufanya hivyo!
Mkuu Petro, nimependa sana busara zako. Nilitegemea jibu tofauti ila kwa kweli umejibu kistaarabu sana. Ni kweli hii nayo ni habari na sioni ubaya wa kujulishana mambo kama haya. Je kingekuwa cha mwisho ndio ingekuwa habari????