UDSM chapaa Afrika;sasa cha sita!

Hata kikiwa cha kwanza duniani haitokusaidia mtaani,soma dogo acha kusifu kinywaji kwa uzuri wa chupa.utapoteza pale utakapojikuta unafanyiwa interview na mwanafunzi aliyesoma chuo cha mwisho duniani
 
ni kweli mtaani university ni ngumu, lakin hayo ni maisha mengine yenye taratibu zake
 
Najuuta kusoma chuo cha kata SAUT tunaishia majungu tu sizitaki hizi,ukweli ni kwamba UDSM ndo Chuo kikuu Tz next level(masters) nakomaa nioshe CV UDSM .
 
Wa vyuo vingine utawajua tu. Kikitajwa UDSM...vibration.Acha hasira,taguta chuo chako hapo
Kama UDSM imepanda chat ni jambo la faraja lakini wasiwasio wangu isije ikawa kama tunavyoambiwa uchumi wa tanzania umepanda kwa asilimia 7 lakini huku mtaani umasikini ndio kwanza unashika kasi. Hizi takwimu nazo ziendane na hali halisi. Je elimu inayopatikana UDSM inakidhi haja ya kuendana na utandawazi tulionao? Hongera Management ya UDSM
 
Hata kikiwa cha kwanza duniani haitokusaidia mtaani,soma dogo acha kusifu kinywaji kwa uzuri wa chupa.utapoteza pale utakapojikuta unafanyiwa interview na mwanafunzi aliyesoma chuo cha mwisho duniani

Nani dogo? Nani anasoma? Tuheshimiane
 
Hata kikiwa cha kwanza duniani haitokusaidia mtaani,soma dogo acha kusifu kinywaji kwa uzuri wa chupa.utapoteza pale utakapojikuta unafanyiwa interview na mwanafunzi aliyesoma chuo cha mwisho duniani
Nini kusoma chuo cha mwisho? Kuna interview unafanyiwa na asiyefika chuo kabisa. Lakini hiyo haishushi nafasi ya UDSM. Tatizo ni kuwa kuna watu wanadhani elimu ni mlango wa maisha kumbe ni ufunguo tu. Sasa ukute malango wenyewe hauna hata kitasa hapo ndo huhitaji hata huo ufungu na mbaya zaidi kila ufunguo na kitasa chake, haziingiliani
 
Vitivo vya UDSM pamoja na wahitimu wake vimetengeneza nini katika miaka kumi iliyopita?

Kuna mashine, dawa, mfumo au utafiti gani muhimu tuliopata ambao umeleta matunda yanayoonekana ambayo yasingewezekana vinginevyo?

Hujajibiwa!: Na sababu itakuwa ni kwamba wengi humu wameshakujua we ni mtu wa kuongeaga pumba tu!
Nenda kitengo cha CoET ukashuhudie kinachofanyika pale. Watanzania si watu wa kujitapatapa kama watu wa kwenu
m.bzi wewe.
 
Pumba ni kulibeza swali bila kulijibu.

"Nenda CoET" unajua niko wapi na nina access ya kwenda CoET kivipi?

Swali linabaki halijajibiwa, hata wewe hujajibu.
 
hilo ni kweli aisee mim na washkaj kibao wooote wapo kitaaa..dahh sijui tatizo nin yan..dahhh
 
Mi sio mtoto mwenzako,afterall sijasomea tz na udsm yako...
Vipaji unawajua wewe,hizi ndio akili za kina mwigul.u
wewe hujasomea Tanzania umesoma mbele unakitu gani cha ajabu? si ajabu bado muajiriwa tu pamoja na kusoma kwako nje..umeinnovate kiyu gani? umedevelop kitu gani? maana kama umesomea mbele obviously technology na vitu kibao viko mbele so katika soma soma yako..umefanya practice to the fullest over what u hav learnt? au umeenda tu kusoma mbele ila hauna chochote cha kujisifia? mf. umejiari wangapi, unakiwanda, enhh? yote tisa wewe ni kama umesoma hapa hapa tu jombaa amini hivyooo....
 
few yrs for udom? kudevelop staff tu itachukua si chini ya 15yrs,ubora sahau,labda umaarufu tu!
 
Hurbert kairuki kimedrop sana,

mwisho wa siku hivi wanatumia vigezo gani hawa jamaa?
 
Huu ni wivu wa kike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…