Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama UDSM imepanda chat ni jambo la faraja lakini wasiwasio wangu isije ikawa kama tunavyoambiwa uchumi wa tanzania umepanda kwa asilimia 7 lakini huku mtaani umasikini ndio kwanza unashika kasi. Hizi takwimu nazo ziendane na hali halisi. Je elimu inayopatikana UDSM inakidhi haja ya kuendana na utandawazi tulionao? Hongera Management ya UDSMWa vyuo vingine utawajua tu. Kikitajwa UDSM...vibration.Acha hasira,taguta chuo chako hapo
Hata kikiwa cha kwanza duniani haitokusaidia mtaani,soma dogo acha kusifu kinywaji kwa uzuri wa chupa.utapoteza pale utakapojikuta unafanyiwa interview na mwanafunzi aliyesoma chuo cha mwisho duniani
Nini kusoma chuo cha mwisho? Kuna interview unafanyiwa na asiyefika chuo kabisa. Lakini hiyo haishushi nafasi ya UDSM. Tatizo ni kuwa kuna watu wanadhani elimu ni mlango wa maisha kumbe ni ufunguo tu. Sasa ukute malango wenyewe hauna hata kitasa hapo ndo huhitaji hata huo ufungu na mbaya zaidi kila ufunguo na kitasa chake, haziingilianiHata kikiwa cha kwanza duniani haitokusaidia mtaani,soma dogo acha kusifu kinywaji kwa uzuri wa chupa.utapoteza pale utakapojikuta unafanyiwa interview na mwanafunzi aliyesoma chuo cha mwisho duniani
Vitivo vya UDSM pamoja na wahitimu wake vimetengeneza nini katika miaka kumi iliyopita?
Kuna mashine, dawa, mfumo au utafiti gani muhimu tuliopata ambao umeleta matunda yanayoonekana ambayo yasingewezekana vinginevyo?
Hujajibiwa!: Na sababu itakuwa ni kwamba wengi humu wameshakujua we ni mtu wa kuongeaga pumba tu!
Nenda kitengo cha CoET ukashuhudie kinachofanyika pale. Watanzania si watu wa kujitapatapa kama watu wa kwenu
m.bzi wewe.
hilo ni kweli aisee mim na washkaj kibao wooote wapo kitaaa..dahh sijui tatizo nin yan..dahhhUdsm kweli ni cha 6 africa,lakini hapa Tanzania cha kwanza ni "Mtaani University", kuna wadogo zetu nao wamemaliza hapo Udsm,lakini sasa ni mwaka wa tatu wameshindwa kumaliza Mtaani University,kila wakifanya mitihani ya ajira wanapata Supp tu.Angalieni sana wadogo zetu,dhambi ya kujiaona bora kwa wasio bora itawatafuna sana.
wewe hujasomea Tanzania umesoma mbele unakitu gani cha ajabu? si ajabu bado muajiriwa tu pamoja na kusoma kwako nje..umeinnovate kiyu gani? umedevelop kitu gani? maana kama umesomea mbele obviously technology na vitu kibao viko mbele so katika soma soma yako..umefanya practice to the fullest over what u hav learnt? au umeenda tu kusoma mbele ila hauna chochote cha kujisifia? mf. umejiari wangapi, unakiwanda, enhh? yote tisa wewe ni kama umesoma hapa hapa tu jombaa amini hivyooo....Mi sio mtoto mwenzako,afterall sijasomea tz na udsm yako...
Vipaji unawajua wewe,hizi ndio akili za kina mwigul.u
Pumba ni kulibeza swali bila kulijibu.
"Nenda CoET" unajua niko wapi na nina access ya kwenda CoET kivipi?
Swali linabaki halijajibiwa, hata wewe hujajibu.
yani watu kama nyie ni ma-pimbi, wewe unabaki kila siku udsm cha paa so what? wewe kazania hiyo knowledge unayoipata ili ikusaidie kupambana uraiani na sio hizo shudu zako! msomi mzima kung'ang'ana leo kimekuwa cha tatu, kesho cha kwanza haitakusaidia kitu ni ulimbukeni take my word!