Mwl Athumani Ramadhani
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,280
- 2,522
Nimesikitishwa Sana na chuo changu kusikia eti wanatanya tafiti kuhusu uchawi na Imani za kishirikina!
Hilo ni jukumu la viongozi wa kiroho kulifanyia sio wao.
Sasa hivi kuna majanga makuu matatu,
Panyaroad wanaoleta sintofahamu nchini,mngekuja na tafiti jinsi ya kuhodhi nguvukazi zilizokosa mwelekeo kama za Hao vijana.jinsi ya kutokomeza janga hili kisayansi bila KUTUMIA vyombo VYA moto kama polisi walivoanza KUTUMIA makali yao dhidi ya vikundi hivi!
Janga la ajira ,mngesema nini kifanyike Ili kutatua janga hili nyie ndio kimbilio la nchi yetu,njoooni na mbadala wa hili janga ambalo litazalisha panyaroad road wengi ZAIDI tena wenye weledi wa kutosha!
Elimu isiolipa ,elimu ya Sasa hailipi tena kijana anaandaliwa kuajiriwa wakati hakuna ajira mngesema elimu gani ifundishwe Sasa Ili kuokoa sintofahamu inayoendelea nchini kwetu,elimu haitoi ajira KWA wananchi na gharama KUBWA ya mikopo inatumika kuwasomesha vijana na kuwajaza mtaani hawana ishu!!!
Njooni na tafiti mtambuka kuliko hizi ninazozisikia,
Chuo kikongwe kama hiki ndio mboni ya taifa ketu,mnapoanza kulegalega na kuja na tafiti za kiroho mnaingilia KADA za watu zisizowahusu kama hizi za kiroho!labda kama mnataka kubadili majengo ya campus ziwe makanisa na misikiti na kuuacha ule moto WETU wa "UDSM-HOME OF INTELECTUALS" na kuwa "UDSM- A SPIRITUAL CENTRE FOR ALL RELIGIONS"
Mmenisikitisha sana na kutudhalilisha Sana wahitimu wa chuo hiki,turudi kwenye misingi ya chuo chetu!