UDSM, first year students 2020/2021

Mnakwenda kuandaliwa kuwa future JOBLESS. ukweli mchungu...kwa tanzania ya sasa hivi mtu anayedahiliwa VETA ana uhakika wa maisha kuliko anayedahiliwa UDSM au vyuo vingine.
 
Nafkri kwa UDSM, CoNAS ndio College ngumu sana ukimaliza salama mshukuru sana mungu kule nimeshuhudia jamaa ana 2.2 na akaliwa kichwa!!!
 
A level daah!! yale maisha staki kuyaskiaa PCM ilinifanya nionekane kama smigo iv[emoji28]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]i feel you bro
 
Wale jamaa ni maadui, Utafundishwa utaelewa vizuri utapata RB na juice pale Cafe on, basii utaona maisha si ndio haya!! UE ni ilikuwa mpoteano aseeh Kuna BT ya third year unaweza hisi nafundishwa kilatini hapa!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]eti kilatini, kaka unatutisha ujue
 
Wale jamaa ni maadui, Utafundishwa utaelewa vizuri utapata RB na juice pale Cafe on, basii utaona maisha si ndio haya!! UE ni ilikuwa mpoteano aseeh Kuna BT ya third year unaweza hisi nafundishwa kilatini hapa!!
[emoji23][emoji23][emoji28] BT sio poa. Nachukia Sana course za botany pale.
 
Kudadadadeeekiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…