Wewe ni meau ke?Habari za wakati huu,
Wale tuliochanguliwa UDSM kwa mwaka wa masomo 2020/2021, karibuni tupeane details zinazoendelea kwa ajiri ya joining instructions, Admission letter na hata taratibu mbalimbali za chuo.
Wakongwe pia wa UDSM karibuni kwa maoni yenu, ushauri na hata mtupe taswira ya mazingira hapo UDSM.
Nawasilisha.
Unafaa kua mchambuz mkuu .....KWELI mademu wanaopga pcm wale achana naao tuuuuKubabaake . vipi mkuu mbona umeguna ama ni nini bro. Just share experience yako ya udsm. Yaani nngepata GPA kubwa nibaki nafundisha pale sijui ingekuwaje
Sura za kiume mkuu. Mana Hao sio warembo sana so kusumbuliwa sana na wanaume hakuna ivyo wanatulia kwa masomo wanapafomu.Unafaa kua mchambuz mkuu .....KWELI mademu wanaopga pcm wale achana naao tuuuu
MeWewe ni meau ke?
Pakupatia pisi Kali humooKaka mbona unatuletea group la ifm huku[emoji2368][emoji2368][emoji2368][emoji2368][emoji2368][emoji2368][emoji2368]
mkuu ,udsm colleagues, kwa aliyepata admission letter ya hpo chuo naomba PDF anisaidie, wengine hatujatumiwa mpaka leo
Sent using Jamii Forums mobile app
You can'tmkuu ,
unaweza kutumia admission letter yenye registration number ya mtu mwingine?????????
mkuu,You can't
Labda aiangalie ilivyo mkuumkuu,
sasa anaposema atumiwe pdf ya admission letter je ataitumia wapi????
Wakikutumia na mm nitumieWakuu,
Naomba kama kuna mwenye link ya WhatsApp ya group la first year 2020/21 udsm anitumie
uzinzi sio sifa na unakwamisha mafanikio ya wengi, mimi ni shuhuda.Hivi unajua kuwa kwa kulala na mwanamke ambaye si mkeo unaweza kuchukua roho za kishetani na zikakutaabisha na kuzuia mafanikio yako mbeleni?Muombe Mungu akupe macho ya kuona ulimwengu wa roho unavyofanya kazi,anaweza kukuonesha kupitia ndoto , ni hatari sana ndugu yangu, na unaweza kushangaa sana ukijua.Ni vizuri kumwomba Mungu akuepushe na mambo hayoUdbs pako vizuri kama una kipaso chako watt watakufurahia sana.
Kuna mshikaji mmoja alisoma architecture pale Aru alikuwa na Hela. Alikuwa anamiliki mademu wawili kwa mpigo na wanajuana wote. Hawa viumbe hawana ujanja mbele ya ulimbo
Labda tumuangalie mfalme Suleiman mkuu alikuwa na wanawake wangapi. Hawa wamewekwa tuwale wewe jibanie tu kwa kukalia Hayo uliyoletewa na wazungu.uzinzi sio sifa na unakwamisha mafanikio ya wengi, mimi ni shuhuda.Hivi unajua kuwa kwa kulala na mwanamke ambaye si mkeo unaweza kuchukua roho za kishetani na zikakutaabisha na kuzuia mafanikio yako mbeleni?Muombe Mungu akupe macho ya kuona ulimwengu wa roho unavyofanya kazi,anaweza kukuonesha kupitia ndoto , ni hatari sana ndugu yangu, na unaweza kushangaa sana ukijua.Ni vizuri kumwomba Mungu akuepushe na mambo hayo
Usijesema sikukwambia...uamuzi ni wakoLabda tumuangalie mfalme Suleiman mkuu alikuwa na wanawake wangapi. Hawa wamewekwa tuwale wewe jibanie tu kwa kukalia Hayo uliyoletewa na wazungu.
Mfalme mswati je ana totozi ngapi tena anajichukulia bikra na chuchu SAA NNE yaani ndo linachomoza mkuu. Binafsi Nina mpango Wa kula wanawake kama wamepungua ni mia. Nahitaji niweke rekodi ya mababu Wa mababu walivyokuwa wakiishi.
Pia navunja rekodi ya Tanzania mana wanaume Wa siku hizi wamekuwa waoga sana kwa kusingizia mambo ambayo hayana mbele
Vip keyboard ulicheza,mi nahitaji kujua hili swalaKapige shule mkuu, Nilipige mambo ya music pale chuo kiliniendesha kweli.