UDSM, first year students 2020/2021

UDSM, first year students 2020/2021

Habari za wakati huu,

Wale tuliochanguliwa UDSM kwa mwaka wa masomo 2020/2021, karibuni tupeane details zinazoendelea kwa ajiri ya joining instructions, Admission letter na hata taratibu mbalimbali za chuo.

Wakongwe pia wa UDSM karibuni kwa maoni yenu, ushauri na hata mtupe taswira ya mazingira hapo UDSM.

Nawasilisha.
Wewe ni meau ke?
 
Kubabaake . vipi mkuu mbona umeguna ama ni nini bro. Just share experience yako ya udsm. Yaani nngepata GPA kubwa nibaki nafundisha pale sijui ingekuwaje
Unafaa kua mchambuz mkuu .....KWELI mademu wanaopga pcm wale achana naao tuuuu
 
Unafaa kua mchambuz mkuu .....KWELI mademu wanaopga pcm wale achana naao tuuuu
Sura za kiume mkuu. Mana Hao sio warembo sana so kusumbuliwa sana na wanaume hakuna ivyo wanatulia kwa masomo wanapafomu.
Demu mzuri anasumbuliwa sana Gari kila ijumaa zinapaki hata tatu pale hall three zinamngoja wakale bata. Muda Wa kukaa kwa masomo unakuwa mdogo. Anabaki ana opt kozi ama masomo simple ili abalansi na bata life
 
Wakuu,

Naomba kama kuna mwenye link ya WhatsApp ya group la first year 2020/21 udsm anitumie
 
Guys nimeamua ku create group la first year la UDSM baada ya kuomba sana bila kupewa majibu yoyote. Karibuni tusaidiane mambo mbalimbali kama vile kujaza fomu na mambo mengine.join link ipo chini hapo

Udbs pako vizuri kama una kipaso chako watt watakufurahia sana.
Kuna mshikaji mmoja alisoma architecture pale Aru alikuwa na Hela. Alikuwa anamiliki mademu wawili kwa mpigo na wanajuana wote. Hawa viumbe hawana ujanja mbele ya ulimbo
uzinzi sio sifa na unakwamisha mafanikio ya wengi, mimi ni shuhuda.Hivi unajua kuwa kwa kulala na mwanamke ambaye si mkeo unaweza kuchukua roho za kishetani na zikakutaabisha na kuzuia mafanikio yako mbeleni?Muombe Mungu akupe macho ya kuona ulimwengu wa roho unavyofanya kazi,anaweza kukuonesha kupitia ndoto , ni hatari sana ndugu yangu, na unaweza kushangaa sana ukijua.Ni vizuri kumwomba Mungu akuepushe na mambo hayo
 
Labda tumuangalie mfalme Suleiman mkuu alikuwa na wanawake wangapi. Hawa wamewekwa tuwale wewe jibanie tu kwa kukalia Hayo uliyoletewa na wazungu.
Mfalme mswati je ana totozi ngapi tena anajichukulia bikra na chuchu SAA NNE yaani ndo linachomoza mkuu. Binafsi Nina mpango Wa kula wanawake kama wamepungua ni mia. Nahitaji niweke rekodi ya mababu Wa mababu walivyokuwa wakiishi.
Pia navunja rekodi ya Tanzania mana wanaume Wa siku hizi wamekuwa waoga sana kwa kusingizia mambo ambayo hayana mbele
 
Usijesema sikukwambia...uamuzi ni wako
 
Back
Top Bottom