UDSM, first year students 2020/2021

UDSM, first year students 2020/2021

Huko wapo wajuvi watakuja wakupe maoni yao. Mie nilijua CoET na CoNAS majirani zangu
Pamoja sana Mkuu

Kuna jamaa anataka kuama kozi toka UDSOL to School of social science. Vipi suala la Mkopo hawasumbui?
 
Kama amekidhi vigezo vya hiyo kozi mkuu atahama. Mwambie kwanza asubirie apate mkopo pia inategemeana na hiyo kozi anayoenda kusoma kwa INA kipaumbele cha mkopo mkuu
 
Sawa sawa Mkuu, kikubwa anachotaka kujua ni-

Mfano kapata 100% ya ada LLB ambayo ni 1,500,000/= je akiamia mfano PSPA ambayo ada ni 1,300,000/= mchakato utakuwaje?

Pia mfano kapata asilimia 80% ya ada LLB ambayo ni 1,300,000/= na akaamia PSPA ambayo ada yake ni 1,300,000/=. Je watamlipia hiyo hiyo kama 100% kwa PSPA?

Kufanya transfer ya kozi kwa hapo UDSM huweza chukua muda gani hadi kukamilika. Na kabla ya kukamilika transfer ya kozi, je utaanza kusoma kozi ya kwanza au ile ya pili?

NB: Usichoke kwa maswali haya Mkuu.
 
Course yoyote mkopo unapata as long as, ana vigezo, though sometimes bahati pia
Shukrani sana Mkuu, miaka hii Mkopo unatoka pasipo upendeleo. Ni jambo zuri zaidi.

Naomba uangalie na maswali hayo juu ya comment number #26
 
UDBS Mkuu
Mkuu nilisahau kitu muhimu nachojua kuhusu udbs huko unasoma watoto wakali unajua wakali tena weupe tokea Kilimanjaro ndo wamejaa sana huko. Utadhani chuo ni chao ila wanakidhi vigezo. Afu si unajua wazazi wao walivyo na uwezo unakuta pisi Kali INA ndinga yake. Kikubwa ukiwa fiti unafaulu unawasovia hapo ndo utazawadia papuchi dogo.

Sheria utakutana na watoto wakali tokea ziwa magharibi aka kagera mpaka Uganda mkuu. Watoto black beauty wale black kweli kweli sio mchezo utakutana ndo wamekijaza chuo usiulize sheria kwa Mhaya hata kama hajaenda shule anaijua.
Mie Nilikuwa nawapenda sana black yaani ile black ukimuweka pamoja na Mkaa huwezi kujua kuwa pale kuna binadamu mkuu. Labda akiongea jino jeupe kama barafu ya Sochi huko USSR na jicho jeupe ndo pigo zangu.
Ila chuoni kuna watoto dogo mpaka unajiuliza hivi kweli anaendaga chooni ama ana mavi tumboni mwake.

Pia kuhusu education utakutana watoto wa mbeya mabinti wamejaa huko kuliko maelezo yaani mabonge yaani Bonge nyanya si unajua mbeya chakula sio cha kuuliza. Wakizira kuwauzia chakula chao dar watu wa dara wanakufa kwa njaa.

Pia kuna kozi Fulani vipindi vitakuwa vinafanyikia CoET huku utakutana na mabinti wenye sura ngumu za kiumbe ila ni mabinti mkuu so usije ukashangaa kuwa ni dume Mike ila ni mabinti waliotokea shule ambazo kweli wanasoma hawalembi k.v Tabora girls,msalato,kilakala Marian girls ,saint Francis huko na mabinti waliofaulu balaa yaani anapata A kwa advanced mathematics so kama Ile hesabu zenu zinakusumbua atakuelekeza kama vile anakufundisha. A e I o u.
Hawa mabinti wana sura kama za baba zao utakutana naye anawahi pindi hata sidiria hajavaa ni kawaida mana mziki wake sio wa kitoto.
Sura zao hazitakuwa na mvuto kisex ila wana tabia nzuri sana kama ukipata mmoja oa usiogope kisa kawa wa 3 kitaifa. Hapa utakutana na sura kama zile za prof ndalichako mana naye mwaka wake alikuwa TO, akina Migiro ana Rose, makinda , mongela Gertrude ama Dr Tulia ndo pigo hizo za CoET.
Mana hawatongozwi tongozwi ndo mana wanapata muda wa Ku concentrate kwa maths na physics na wanatoboa.

Ila nenda huko pspa ,coss ,cohu wakati tukawa hapo Ilikuwa ni CASS ila wameigawanya tukawa tumeshatoka.
Huko watt ni balaa kwenda b.a com mkuu unamuona MTT unabaki kumlia macho tu mana hakuna namna ila ukijilipua utest zali lako. Huko ndo mpaka kila mwanaume anajua marashi ,sabuni za manukato wakati huku CoET utakutana wanajua b29,jamaa na mwakano ndo sabuni zao. Pia CoET watt wengi ni ambao ni watoto wa masikini ama watt wa wakulima kama wanavyojiita ila vyuo vingine watt ni wa mawaziri,mafisadi na wafanyabiashara yaani wazazi wao wana uwezo
 
Sawa sawa Mkuu, kikubwa anachotaka kujua ni-

Mfano kapata 100% ya ada LLB ambayo ni 1,500,000/= je akiamia mfano PSPA ambayo ada ni 1,300,000/= mchakato utakuwaje?

Pia mfano kapata asilimia 80% ya ada LLB ambayo ni 1,300,000/= na akaamia PSPA ambayo ada yake ni 1,300,000/=. Je watamlipia hiyo hiyo kama 100% kwa PSPA?

Kufanya transfer ya kozi kwa hapo UDSM huweza chukua muda gani hadi kukamilika. Na kabla ya kukamilika transfer ya kozi, je utaanza kusoma kozi ya kwanza au ile ya pili?

NB: Usichoke kwa maswali haya Mkuu.
Muda dogo huwa unatolewa kubadilishwa kozi sijui ni ndani ya wiki moja ila kama amekidhi vigezo ni fast a sana.
Pia kuhusu mkopo angalia kama iyo pspa inapewa mkopo ama ni kipaumbele cha Heslb kutoa mkopo dogo. Hayo masuala ya mkopo kuhamisha sijajua ila ukishabadili na kupewa id jina litarudi bodi ili ulipiwe ada stahiki.
Sometimes MTU anasoma kozi ili apewe mkopo ingawa sio kipaumbele chake ama sio Upendo wake.
So maisha yanakuchagulia namna ya kuishi
 
Shukrani sana Mkuu, kwa kipindi hiki hususani mwaka jana niliona kozi nyingi walipewa Mkopo.
 
Mkuu nilisahau kitu muhimu nachojua kuhusu udbs huko unasoma watoto wakali unajua wakali tena weupe tokea Kilimanjaro ndo wamejaa sana huko. Utadhani chuo ni chao ila wanakidhi vigezo. Afu si unajua wazazi wao walivyo na uwezo unakuta pisi Kali INA ndinga yake. Kikubwa ukiwa fiti unafaulu unawasovia hapo ndo utazawadia papuchi dogo.

Sheria utakutana na watoto wakali tokea ziwa magharibi aka kagera mpaka Uganda mkuu. Watoto black beauty wale black kweli kweli sio mchezo utakutana ndo wamekijaza chuo usiulize sheria kwa Mhaya hata kama hajaenda shule anaijua.
Mie Nilikuwa nawapenda sana black yaani ile black ukimuweka pamoja na Mkaa huwezi kujua kuwa pale kuna binadamu mkuu. Labda akiongea jino jeupe kama barafu ya Sochi huko USSR na jicho jeupe ndo pigo zangu.
Ila chuoni kuna watoto dogo mpaka unajiuliza hivi kweli anaendaga chooni ama ana mavi tumboni mwake.

Pia kuhusu education utakutana watoto wa mbeya mabinti wamejaa huko kuliko maelezo yaani mabonge yaani Bonge nyanya si unajua mbeya chakula sio cha kuuliza. Wakizira kuwauzia chakula chao dar watu wa dara wanakufa kwa njaa.

Pia kuna kozi Fulani vipindi vitakuwa vinafanyikia CoET huku utakutana na mabinti wenye sura ngumu za kiumbe ila ni mabinti mkuu so usije ukashangaa kuwa ni dume Mike ila ni mabinti waliotokea shule ambazo kweli wanasoma hawalembi k.v Tabora girls,msalato,kilakala Marian girls ,saint Francis huko na mabinti waliofaulu balaa yaani anapata A kwa advanced mathematics so kama Ile hesabu zenu zinakusumbua atakuelekeza kama vile anakufundisha. A e I o u.
Hawa mabinti wana sura kama za baba zao utakutana naye anawahi pindi hata sidiria hajavaa ni kawaida mana mziki wake sio wa kitoto.
Sura zao hazitakuwa na mvuto kisex ila wana tabia nzuri sana kama ukipata mmoja oa usiogope kisa kawa wa 3 kitaifa. Hapa utakutana na sura kama zile za prof ndalichako mana naye mwaka wake alikuwa TO, akina Migiro ana Rose, makinda , mongela Gertrude ama Dr Tulia ndo pigo hizo za CoET.
Mana hawatongozwi tongozwi ndo mana wanapata muda wa Ku concentrate kwa maths na physics na wanatoboa.

Ila nenda huko pspa ,coss ,cohu wakati tukawa hapo Ilikuwa ni CASS ila wameigawanya tukawa tumeshatoka.
Huko watt ni balaa kwenda b.a com mkuu unamuona MTT unabaki kumlia macho tu mana hakuna namna ila ukijilipua utest zali lako. Huko ndo mpaka kila mwanaume anajua marashi ,sabuni za manukato wakati huku CoET utakutana wanajua b29,jamaa na mwakano ndo sabuni zao. Pia CoET watt wengi ni ambao ni watoto wa masikini ama watt wa wakulima kama wanavyojiita ila vyuo vingine watt ni wa mawaziri,mafisadi na wafanyabiashara yaani wazazi wao wana uwezo
Vizuri sana kwa mchango wako, Mungu ajalie nasi tukapambane tena huko UDSM.
 
Shukrani sana Mkuu, kwa kipindi hiki hususani mwaka jana niliona kozi nyingi walipewa Mkopo.
Kikubwa angalia kama usije ukabadili kozi ukienda huko ni umtiti kupata mkopo ndugu. Pia utakutana na afisa mkopo mwanafunzi mwenzako wa chuo sijui jamaa anaitwa nani ila yupo jengo LA utawala pale naye alikuwa ni dent hapo hapo udsm enzi zake ndo alikuwa akiongoza mgomo analala getini pale bodi anadai mtaniua ila mkopo mnipe akawa ametengeneza CV mpaka anamaliza tayari kazi anayo.
 
Jamaa alikuwa anapigania maisha yake.. Mie nimechaguliwa UDBS Mkuu
 
Kikubwa angalia kama usije ukabadili kozi ukienda huko ni umtiti kupata mkopo ndugu. Pia utakutana na afisa mkopo mwanafunzi mwenzako wa chuo sijui jamaa anaitwa nani ila yupo jengo LA utawala pale naye alikuwa ni dent hapo hapo udsm enzi zake ndo alikuwa akiongoza mgomo analala getini pale bodi anadai mtaniua ila mkopo mnipe akawa ametengeneza CV mpaka anamaliza tayari kazi anayo.
Vp kuhusu coict bro
 
Coict imeanzishwa
Mie nishatokapo ila kozi zao ni telecommunications, computer engineering and information technology, computer science,electronics na sijui na nini. Hivi bado kuna wadogi zetu wanazisoma hizi kozi hizi samahani lakini.
Huko namjua kuna prof mmoja anaitwa LUhanga huwa anaamini tz nzima ni yeye tu na mark mwandosya wengine wanapeana kama wanavyopeana kazi ama kama baba kanituma kule jkt

Vp kuhusu coict bro
 
Mkuu nilisahau kitu muhimu nachojua kuhusu udbs huko unasoma watoto wakali unajua wakali tena weupe tokea Kilimanjaro ndo wamejaa sana huko. Utadhani chuo ni chao ila wanakidhi vigezo. Afu si unajua wazazi wao walivyo na uwezo unakuta pisi Kali INA ndinga yake. Kikubwa ukiwa fiti unafaulu unawasovia hapo ndo utazawadia papuchi dogo.

Sheria utakutana na watoto wakali tokea ziwa magharibi aka kagera mpaka Uganda mkuu. Watoto black beauty wale black kweli kweli sio mchezo utakutana ndo wamekijaza chuo usiulize sheria kwa Mhaya hata kama hajaenda shule anaijua.
Mie Nilikuwa nawapenda sana black yaani ile black ukimuweka pamoja na Mkaa huwezi kujua kuwa pale kuna binadamu mkuu. Labda akiongea jino jeupe kama barafu ya Sochi huko USSR na jicho jeupe ndo pigo zangu.
Ila chuoni kuna watoto dogo mpaka unajiuliza hivi kweli anaendaga chooni ama ana mavi tumboni mwake.

Pia kuhusu education utakutana watoto wa mbeya mabinti wamejaa huko kuliko maelezo yaani mabonge yaani Bonge nyanya si unajua mbeya chakula sio cha kuuliza. Wakizira kuwauzia chakula chao dar watu wa dara wanakufa kwa njaa.

Pia kuna kozi Fulani vipindi vitakuwa vinafanyikia CoET huku utakutana na mabinti wenye sura ngumu za kiumbe ila ni mabinti mkuu so usije ukashangaa kuwa ni dume Mike ila ni mabinti waliotokea shule ambazo kweli wanasoma hawalembi k.v Tabora girls,msalato,kilakala Marian girls ,saint Francis huko na mabinti waliofaulu balaa yaani anapata A kwa advanced mathematics so kama Ile hesabu zenu zinakusumbua atakuelekeza kama vile anakufundisha. A e I o u.
Hawa mabinti wana sura kama za baba zao utakutana naye anawahi pindi hata sidiria hajavaa ni kawaida mana mziki wake sio wa kitoto.
Sura zao hazitakuwa na mvuto kisex ila wana tabia nzuri sana kama ukipata mmoja oa usiogope kisa kawa wa 3 kitaifa. Hapa utakutana na sura kama zile za prof ndalichako mana naye mwaka wake alikuwa TO, akina Migiro ana Rose, makinda , mongela Gertrude ama Dr Tulia ndo pigo hizo za CoET.
Mana hawatongozwi tongozwi ndo mana wanapata muda wa Ku concentrate kwa maths na physics na wanatoboa.

Ila nenda huko pspa ,coss ,cohu wakati tukawa hapo Ilikuwa ni CASS ila wameigawanya tukawa tumeshatoka.
Huko watt ni balaa kwenda b.a com mkuu unamuona MTT unabaki kumlia macho tu mana hakuna namna ila ukijilipua utest zali lako. Huko ndo mpaka kila mwanaume anajua marashi ,sabuni za manukato wakati huku CoET utakutana wanajua b29,jamaa na mwakano ndo sabuni zao. Pia CoET watt wengi ni ambao ni watoto wa masikini ama watt wa wakulima kama wanavyojiita ila vyuo vingine watt ni wa mawaziri,mafisadi na wafanyabiashara yaani wazazi wao wana uwezo
Cost ni chuo kinachohusika na nini haswa?
Naskia ndo pagumu kuliko kote
 
Coict imeanzishwa
Mie nishatokapo ila kozi zao ni telecommunications, computer engineering and information technology, computer science,electronics na sijui na nini. Hivi bado kuna wadogi zetu wanazisoma hizi kozi hizi samahani lakini.
Huko namjua kuna prof mmoja anaitwa LUhanga huwa anaamini tz nzima ni yeye tu na mark mwandosya wengine wanapeana kama wanavyopeana kazi ama kama baba kanituma kule jkt
Lakini tuseme ukweli hizi kozi hazina solo kwa hapa bongo
 
Back
Top Bottom