Mkuu nilisahau kitu muhimu nachojua kuhusu udbs huko unasoma watoto wakali unajua wakali tena weupe tokea Kilimanjaro ndo wamejaa sana huko. Utadhani chuo ni chao ila wanakidhi vigezo. Afu si unajua wazazi wao walivyo na uwezo unakuta pisi Kali INA ndinga yake. Kikubwa ukiwa fiti unafaulu unawasovia hapo ndo utazawadia papuchi dogo.
Sheria utakutana na watoto wakali tokea ziwa magharibi aka kagera mpaka Uganda mkuu. Watoto black beauty wale black kweli kweli sio mchezo utakutana ndo wamekijaza chuo usiulize sheria kwa Mhaya hata kama hajaenda shule anaijua.
Mie Nilikuwa nawapenda sana black yaani ile black ukimuweka pamoja na Mkaa huwezi kujua kuwa pale kuna binadamu mkuu. Labda akiongea jino jeupe kama barafu ya Sochi huko USSR na jicho jeupe ndo pigo zangu.
Ila chuoni kuna watoto dogo mpaka unajiuliza hivi kweli anaendaga chooni ama ana mavi tumboni mwake.
Pia kuhusu education utakutana watoto wa mbeya mabinti wamejaa huko kuliko maelezo yaani mabonge yaani Bonge nyanya si unajua mbeya chakula sio cha kuuliza. Wakizira kuwauzia chakula chao dar watu wa dara wanakufa kwa njaa.
Pia kuna kozi Fulani vipindi vitakuwa vinafanyikia CoET huku utakutana na mabinti wenye sura ngumu za kiumbe ila ni mabinti mkuu so usije ukashangaa kuwa ni dume Mike ila ni mabinti waliotokea shule ambazo kweli wanasoma hawalembi k.v Tabora girls,msalato,kilakala Marian girls ,saint Francis huko na mabinti waliofaulu balaa yaani anapata A kwa advanced mathematics so kama Ile hesabu zenu zinakusumbua atakuelekeza kama vile anakufundisha. A e I o u.
Hawa mabinti wana sura kama za baba zao utakutana naye anawahi pindi hata sidiria hajavaa ni kawaida mana mziki wake sio wa kitoto.
Sura zao hazitakuwa na mvuto kisex ila wana tabia nzuri sana kama ukipata mmoja oa usiogope kisa kawa wa 3 kitaifa. Hapa utakutana na sura kama zile za prof ndalichako mana naye mwaka wake alikuwa TO, akina Migiro ana Rose, makinda , mongela Gertrude ama Dr Tulia ndo pigo hizo za CoET.
Mana hawatongozwi tongozwi ndo mana wanapata muda wa Ku concentrate kwa maths na physics na wanatoboa.
Ila nenda huko pspa ,coss ,cohu wakati tukawa hapo Ilikuwa ni CASS ila wameigawanya tukawa tumeshatoka.
Huko watt ni balaa kwenda b.a com mkuu unamuona MTT unabaki kumlia macho tu mana hakuna namna ila ukijilipua utest zali lako. Huko ndo mpaka kila mwanaume anajua marashi ,sabuni za manukato wakati huku CoET utakutana wanajua b29,jamaa na mwakano ndo sabuni zao. Pia CoET watt wengi ni ambao ni watoto wa masikini ama watt wa wakulima kama wanavyojiita ila vyuo vingine watt ni wa mawaziri,mafisadi na wafanyabiashara yaani wazazi wao wana uwezo