Wandugu nimekutana na hii kitu kwa wale waliomaliza Chuo Kikuu cha Dar es Salaam 2013. Ni tarehe, mchanganuo na taratibu za mahafali:
Tuanze kuandaa ukumbi, mapilau nk.
Tuandae pesa za majoho na DVD za stii na video pictures
Tujipange kibiashara zaidi (kutafuta kazi, kujiajiri au kuajiri)
Hongera na kila la kheri