Benito Josh
Member
- Jul 30, 2012
- 74
- 14
Hizi sarakasi za UDOM na UDSM mbona haziishi wakuu?
Kwani hujui UDOM ni chuo cha kata?
Mjinga akaaye kujadili vyuo badala ya kupima uelewa wa mtu mmoja mmoja,yapo mambo mengi hayana majibu mpaka leo kuhusu mwelekeo wa elimu ya tanzania,jadilini hayo na si huu ushambenga wenu...tumechoshwa na story za udom na udsm! Only stupid can discuss this!Our threat is saut and not udom. Is it clear?
Hizi sarakasi za UDOM na UDSM mbona haziishi wakuu?
Upinzani wa UDSM na UDOM hasa upo katika sehemu gani?
Badilisha TITLE yako bana.. WANAOKASHIFU UDOM NI UDSM AU WALIOSOMA UDSM?Imezoeleka kuwa UDSM ndio chuo bora kinachotoa wanafunz wenye kiwango cha juu cha taaluma,(mazoea sio sheria) na wanafunzi wa UDSM wote wanaamini hivyo kuwa wao ni bora kuliko vyuo vingne hasa chuo chao pinzani (UDOM), Moja kati ya hoja zao wanasema wanafunz wa UDOM elimu yao sio bora coz walimu wao hawana taaluma ya kutosha, if so inamana hamjui kuwa walimu wa UDOM ndio wanafunzi waliomaliza UDSM?.