Benito Josh
Member
- Jul 30, 2012
- 74
- 14
Hoja dhaifu. Cha msingi we piga msuli upate matokeo yaliyo mazuri yatakayo kusaidia huko mbeleni sio kuja kulalama tu eti wanafunzi wa UDSM wanawadharau wa UDOM. Ukiwa kama msomi inabidi ujikomboe kifikra na kuandaa hoja zenye manufaa kwa umma.