UDSM haipaswi kuikashifu UDOM

UDSM haipaswi kuikashifu UDOM

Imezoeleka kuwa UDSM ndio chuo bora kinachotoa wanafunz wenye kiwango cha juu cha taaluma,(mazoea sio sheria) na wanafunzi wa UDSM wote wanaamini hivyo kuwa wao ni bora kuliko vyuo vingne hasa chuo chao pinzani (UDOM), Moja kati ya hoja zao wanasema wanafunz wa UDOM elimu yao sio bora coz walimu wao hawana taaluma ya kutosha, if so inamana hamjui kuwa walimu wa UDOM ndio wanafunzi waliomaliza UDSM?.

Upinzani maana yake nini? Lini walikaa wakashindanisha vyuo?

By the way, chuo bora hapa nchini ni VETA katika kila kitu, taaluma, productivity na relevance ya kinachofundishwa kwa jamii.
 
Back
Top Bottom