UDSM hakuna vya bure

Ilikua na shida gan?
Kwakweli maswali yalikuja, huyu kawa Waziri Yuko busy sana na katika mawaziri waliokuwa wako busy ni yeye, pili how comes anaingia kuwa Rais ndio anapewa hiyo PhD?

Halafu alisoma lini yaani aliandika mambo gani maana haikuwa honorary degree, wadadisi wanatafuta alichofanyia thesis
 
Watuthibitishie kwanza Phd ya mwendazake ilipatikanaje wakati kila mtu wa kawaida alimuona kulaza kabisa
Mwendazake alikuepo na MSc na inaonekana PhD ya aliipata Kwa research without course work . alifanya research bila kukaa darasani.
 
UDSM hawatakagi mchezo linapokuja Jambo la publications na promotion. Lipo zee flan la Kihaya linasotea mwaka wa 7 huu kuwa prof kila mara wanaliambia points hazijatimia linaishia kunywa bia tu pale Mawasiliano Park
 
Acha chuki na mtu ambae hayupo tena duniani,hiyo PhD kaipata hata kabla hajafikiria kuwa Rais wa nchi.

 
Jamani, kama hamna data; acheni kuandika uongo. Magu hakupata PhD akiwa Rais. Katafute kitabu cha Graduands wa UDSM wa 2009, Kama unataka kujua Magu alipata PhD lini. Nenda katafute, nimekurahisishia kazi.
 
Enzi nikiwa undergraduate nilikuwaga namuona jiwe department ya chemistry alikuwaga anaenda na BMW nyeusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…