Mwandwanga
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 3,059
- 1,572
Kama unataka kumtumia mtu namba ni bora ukatumia pm na sio hapa. Kuwa makini kijana huu mtandao wengi wanaingia
hosteli udsm chafu sana sikushauri ukae km una hela yako...yapo magheto mazuri tu yametulia mitaa ya survey hapo....km mtoto wa mkulima inabidi ukubali maisha ya kubebana hamna jinsi tumetofautiana kwa kila kitu....
Kaa hostel at least upate experience ya kuishi na strangers. Mie form 2 hadi form 6 nilisoma boarding, best experience ever, imenifundisha kujitegemea na kuweza kuishi kokote na watu wa aina zote...so I think u need that experience in ur life itakusaidia ktk changamoto za maisha (my opinion 😉π
Mkuu mi mwenyewe nimepangiwa udsm, plz ntumie sms kwenye 07666800488 ili tujuane. Orientation inaanza lin mzee