UDSM itenge eneo la makaburi kwa wahadhiri wake

UDSM itenge eneo la makaburi kwa wahadhiri wake

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Ukiacha JWTZ taasisi inayomiliki ardhi kubwa katika mkoa wa DSM ni Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam, na kutokana na kuwa chuo hiki kimetoa wahadhiri mahiri wenye kuheshimika duniani ambao walikuwa busy kufundisha mpaka kusahau kujenga makwao ni muda sasa chuo kuwatengea sehemu ya malalo ya kudumu, nikimaanisha makaburi.

Kwa wastani chuo kinapoteza wahadhiri watano mpaka saba kwa mwaka, hivyo eneo la ekari mbili linatosha kwa miaka 50 ijayo kuwahifadhi hawa waZee, haiji akilini vichwa nguli kuvitelekeza kinondoni cemetry, ni bora wawe na eneo lao itachochea hata utalii wa ndani, pata picha kaburi la chachage au haroub othmani lingekuwa viunga vya UDSM, hii ni kwa waadhiri na key figure za chuo tu wanafamilia wengine tukutane kinondoni.
 
Hata mkuu alikataa viongozi wakuu wa nchi kuzikwa pale Dodoma sehem maalum, hakuna asiependa kuzikwa kwao acha mihemko.
 
Ukiacha JWTZ taasisi inayomiliki ardhi kubwa katika mkoa wa DSM ni Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam, na kutokana na kuwa chuo hiki kimetoa wahadhiri mahiri wenye kuheshimika duniani ambao walikuwa busy kufundisha mpaka kusahau kujenga makwao ni muda sasa chuo kuwatengea sehemu ya malalo ya kudumu, nikimaanisha makaburi...

M.A.P Prof Shayo.
 
Unataka mizimu yao ine kuwasumbuawanafunzi pale ..? Assume upo conas pale kiliman thennlinatokea li mzimu la professor lina kutoa baruuu eiiiiiiii UTAJUTAAAAA.
 
Back
Top Bottom