UDSM Kama Sekondari, Headmaster Mkandara

MchunguZI

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2008
Posts
4,011
Reaction score
2,185
Inasikitisha lakini ndo hali halisi inaojijenga hapo University of DSM. Mtindo unaotumika kukiongoza Chuo hiki sasa ni sawa na shule ya sekondari ambayo kufukuzwa na kuambiwa urudi na mzazi ndo adhabu ya mfano.

Hivi kweli VC Mkandara anafahamu anachokifanya? Ni uwezo mdogo wa kufikiri au ni juhudi za kulala na aliyemteua? Inasikitisha nchi kushiondwa kupata Profesa anayeweza kuongoza chuo kama UD na kuamua kumpa kiumbe kama Mkandara!

Hilo linaloitwa baraza la chuo nalo lina watu gani? Au ndo wale wastaafu (deadwood) wanaolelewa na chuo ili wafe vizuri? Kuna mtindo wa kurundika wanasiasa wastaafu ktk vyuo bila hata tija. Kule SUA pia kuna mdhaifu mmoja wa miaka mingi ndomwenyekiti wa baraza lao bahati mbaya ni chuo kisichokuwa na Chancelor!
Hii UD ndo inaoza kabisaaaaa! bora usome seminari.
 
Hamna lolote. Ni lazima tutofautishe chuo na siasa. Kama unataka siasa kafanye, tuacheni tunaotaka kusoma.
 
basi kama vipi wanafunzi waende na wazazi wao wapigwe bakora mbele ya umatimambo yaishe
 
poleni sana wengine tulitamani kufika udsm......ila hatukufanikiwa kufika kutokana form six reseults kuwa chini kiwango
na sasa tupo tuu mitaani mi nawashauri pigeni buku mmalize huo uongozi wenu umejaaaaa siasa na kuna mikono ya watu
 

huna jipya wewe ni chambo na mwanaharakati Uchwara wa siasa za bongo acheni watu wafanye mitihani huwezi wacha chuo ebo!
 
Shauri hawakujua chuo walifata nini? Tuinaishuku serikali tulikuwa tunaadhibiwa yasiyotuhusu.
 
huna jipya wewe ni chambo na mwanaharakati Uchwara wa siasa za bongo acheni watu wafanye mitihani huwezi wacha chuo ebo!

Kama we ni mwanafunzi, natabiri utafeli. Au utasukumwa tu upate hiyo leseni ya kuombea kazi.*
Soma vizuri tatizo langu. wala haliko kwa wanafunzi. Nauliza juu ya akili ya VC wenu wa sasa pamoja na uongozi wote.

Kama unaamini kwamba anakuongoza vizuri, subiri umalize chuo ndo utaona ubora wako ulivyo haribiwa na huyo "Headmaster".

VC anaongoza chuo kwa kusaidiana na FFU!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…