MchunguZI
JF-Expert Member
- Jun 14, 2008
- 4,011
- 2,185
Inasikitisha lakini ndo hali halisi inaojijenga hapo University of DSM. Mtindo unaotumika kukiongoza Chuo hiki sasa ni sawa na shule ya sekondari ambayo kufukuzwa na kuambiwa urudi na mzazi ndo adhabu ya mfano.
Hivi kweli VC Mkandara anafahamu anachokifanya? Ni uwezo mdogo wa kufikiri au ni juhudi za kulala na aliyemteua? Inasikitisha nchi kushiondwa kupata Profesa anayeweza kuongoza chuo kama UD na kuamua kumpa kiumbe kama Mkandara!
Hilo linaloitwa baraza la chuo nalo lina watu gani? Au ndo wale wastaafu (deadwood) wanaolelewa na chuo ili wafe vizuri? Kuna mtindo wa kurundika wanasiasa wastaafu ktk vyuo bila hata tija. Kule SUA pia kuna mdhaifu mmoja wa miaka mingi ndomwenyekiti wa baraza lao bahati mbaya ni chuo kisichokuwa na Chancelor!
Hii UD ndo inaoza kabisaaaaa! bora usome seminari.