UDSM kimenuko uongozi wa daruso out!

UDSM kimenuko uongozi wa daruso out!

Mchaga 25

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
464
Reaction score
114
FFU wamejazana chuo kikuu cha dar es salaam ikiwa ni kuzima uwezekano wa shambulizi la kigaidi kutoka kwa wanafunzi hao dhidi ya utawala wa chuo hicho kikongwe hapa nchini.

Nawasilisha.
 
Mashambulizi ya Kiagaidi?? Are u forreal au unaandika tu!
 
Wanasingizia tu, maana wameogopa kusema sababu za ki intelijensia wakaona waseme kigaidi. Next time watakuja na single nyingine
 
mkuu waweza pia kuwa mnafki naona kichwa cha habari ni zaidi ya habari yenyewe
 
Kwanin udsm msiombe nguvu kutoka bokoharam,al-qaeda au al-shabaab
 
FFU wamejazana chuo kikuu cha dar es salaam ikiwa ni kuzima uwezekano wa shambulizi la kigaidi kutoka kwa wanafunzi hao dhidi ya utawala wa chuo hicho kikongwe hapa nchini.

Nawasilisha.
...........mkuu usikurupuke, ndizo habari za ki-intelijensia mnazotumia kutugandamiza sio!!!!!
 
Duh mwanzo nilijua kuna uchafu umetapakaa unaleta harusu chafu chuoni, kumbe ni matatizo ya wanachuo, Uongozi wa chuo uache mambo ya siasa na utafute suluhisho la kudumu la matatizo haya, haipiti miezi miwili tunasikia mgogoro wa wanachuo, we need permanent solutions for these problems.
 
Wanafunzi wa sasa waoga sana yani me ningekuwa mwanafunzi leo ningelipua makazi ya mkandara hapo,na kuna kipindi ticha flani hapo alikua ananizingua na nilipanga nilipue utawala sema tulienda nae sawa,hawa washenzi dawa yao ni kulipua yani mnashindwa kujioganaiz wanafunzi hata wa5 mkanunua guruneti na kulipua utawala? Kama mbwai mbwai tu hii nchi mbele haitotawalika biliv dat I'm tellin y'all buddiez
 
Back
Top Bottom