UDSM Kuna nini kwenye fani ya ununuzi na ugavi?

Jibu hoja iliyoko mezani! kwanin taasi nyingine hazijatangaza, je zimevunja sheria ya utumishi??

Je udsm inawatumishi vilaza wa procurement?? hapa ndio hoja ilipo.?

Mkuu kila taasisi huwa ina taratibu zake za kufanya manunuzi (hasa kwenye miradi), Kingine pia huenda hizo taasisi nyingine tayari zina wataalamu wa ziada na walivojigawa wameona hakuna uhitaji wa kuongea Specialist...

UDSM wao hadi wanatangaza ujue wameona kuwa inahitajika ongezeko la Specialist kwenye huo upande,,, na sio kwamba huyo atafanya kazi peke yake, atakutana na wenzake...

Unaposema Procurement Specialist waliyopo watakuwa disappointed....Una Uhakika hawajashirikishwa..??? Una uhakika Dept ya PMU haijakaa kupitisha hili..??? nini kinachofanya uone kama watasikitika..? kuna mtu wa pale unafanya nae mazungumzo.?? Hili ni swali linafanya nikuone kama wewe ni ni mtu wa pale uliyekasirika kwa wivu na chuki tu

Na kwanini ukimbilie kusema UDSM wana Vilaza,,,, na usifikiri kwamba kuna upungufu wa Watumishi...??? kwasabu watu wanafariki na kuacha kazi kila siku.... kwanini uwe upande -ve kwenye huu mchakato...

Kuchukia watanzania wenzako kupata Ajira haikusaidii wala haikujengi,, na chuki ya hvo ndio hatua ya mwisho mtu hupitia kabla hajawa Mchaw..
 
Ukisoma post zangu between the lines, utaelewa msingi wa hoja yangu!

Mimi niko mbali sana na kada hiyo ya manunuzi, hivyo ondoa hiyo mentality! Jamii forum ni jukwaa la mawazo huru, ndio mana kuna watu wasio madaktaru huwa wanakuja na facts za kidaktaru, na hoja zao zinakuwa na mashiko.

Nikuambie tu, baada ya post zangu, nimejua mengi juu ya hiyo issue, hivyo unawezajifanya unajua lakini kumbe hujui, wanao fahamu wanakuangalia tu, kiufupi nilichotaka kufahamu tayari nimekifahamu!

Kuna watu humu walikuja na taratibu za utumishi, wengine taratibu za miradi, ww unakujana kila Taasis na taratibu zake uku ukisahau ajira zote ziko chini ya Katibu mkuu utumishi!


Wasalaam!
 
Good narration!
 
Kwan uliambiwa ukisoma hapo watakuajir acha watangaze na kanuni zinavyotaka

Wa ud wataomba na wengine wataomba maana hawajazuia mtu wa ud kuomba bilashaka
 
Punguza chuki kama dili umekosa
Mpaka wametangaza inawezekana waliopohawatoshi
 
Punguza chuki kama dili umekosa
Mpaka wametangaza inawezekana waliopohawatoshi
Pole sana! Me niko mbali sana na hicho chuo, na siko affiliated kwa namna yoyote, bahati mbaya sina hata ndugu anayefanya kazi pale! Ivyo hoja yangu iko kwa ajili ya kujenga, na si vinginevyo!
 
Nikuambie tu, baada ya post zangu, nimejua mengi juu ya hiyo issue, hivyo unawezajifanya unajua lakini kumbe hujui, wanao fahamu wanakuangalia tu, kiufupi nilichotaka kufahamu tayari nimekifahamu!

Sawa mkuu
 
Hawa ndio namna ya watu waliozoea kubebwa-bebwa na wajomba zao!
Watu kama nyie ndio mnajuaga sera (policy) zinashuka toka mbinguni!

Kumbe ni kupitia maoni, mijadala na hata migongano ya mawazo.

Na amini kupitia uzi huu, waajiri kuna kitu wamejifunza saaana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…