Nas Jr
JF-Expert Member
- May 15, 2018
- 7,920
- 8,675
Jibu hoja iliyoko mezani! kwanin taasi nyingine hazijatangaza, je zimevunja sheria ya utumishi??
Je udsm inawatumishi vilaza wa procurement?? hapa ndio hoja ilipo.?
Mkuu kila taasisi huwa ina taratibu zake za kufanya manunuzi (hasa kwenye miradi), Kingine pia huenda hizo taasisi nyingine tayari zina wataalamu wa ziada na walivojigawa wameona hakuna uhitaji wa kuongea Specialist...
UDSM wao hadi wanatangaza ujue wameona kuwa inahitajika ongezeko la Specialist kwenye huo upande,,, na sio kwamba huyo atafanya kazi peke yake, atakutana na wenzake...
Unaposema Procurement Specialist waliyopo watakuwa disappointed....Una Uhakika hawajashirikishwa..??? Una uhakika Dept ya PMU haijakaa kupitisha hili..??? nini kinachofanya uone kama watasikitika..? kuna mtu wa pale unafanya nae mazungumzo.?? Hili ni swali linafanya nikuone kama wewe ni ni mtu wa pale uliyekasirika kwa wivu na chuki tu
Na kwanini ukimbilie kusema UDSM wana Vilaza,,,, na usifikiri kwamba kuna upungufu wa Watumishi...??? kwasabu watu wanafariki na kuacha kazi kila siku.... kwanini uwe upande -ve kwenye huu mchakato...
Kuchukia watanzania wenzako kupata Ajira haikusaidii wala haikujengi,, na chuki ya hvo ndio hatua ya mwisho mtu hupitia kabla hajawa Mchaw..