A
Anonymous
Guest
Kiukweli nimesikitika sana UDSM kuficha matokeo ya wrriten interview iliyofanyika tarehe 02/05/2026 pale yombo 4 mapaka sasa matokeo hayajawekwa kwenye website rasmi ya Secretariat ya ajira huku waajiri wengine wakitoa matokea wazi
Sasa naanza kuamini ili upate kazi UDSM ni mpaka utoe rushwa au upate connnection tofauti na hapo usipote muda kwenda kufanya interview UDSM
Sasa naanza kuamini ili upate kazi UDSM ni mpaka utoe rushwa au upate connnection tofauti na hapo usipote muda kwenda kufanya interview UDSM