General mex Senior Member Joined May 1, 2011 Posts 158 Reaction score 185 Nov 11, 2011 #1 Ni maandamano ya amani kupinga kitendo cha serikali kuwanyima mkopo wanafunzi na pia matatizo mengi ambayo yameikumba elimu ya juu Tanzania. Ni leo asubuhi yataanzia mabibo hostel na campus halafu kutoka campus ni .... Nitawajuza baadae.
Ni maandamano ya amani kupinga kitendo cha serikali kuwanyima mkopo wanafunzi na pia matatizo mengi ambayo yameikumba elimu ya juu Tanzania. Ni leo asubuhi yataanzia mabibo hostel na campus halafu kutoka campus ni .... Nitawajuza baadae.
MATESLAA JF-Expert Member Joined Aug 11, 2011 Posts 1,246 Reaction score 75 Nov 11, 2011 #2 tumesha kula mabomu hapa geti maji tulikuwa tunaenda zetukwa mweshimiwa