General mex
Senior Member
- May 1, 2011
- 158
- 185
Ni maandamano ya amani kupinga kitendo cha serikali kuwanyima mkopo wanafunzi na pia matatizo mengi ambayo yameikumba elimu ya juu Tanzania. Ni leo asubuhi yataanzia mabibo hostel na campus halafu kutoka campus ni .... Nitawajuza baadae.