Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
- Thread starter
- #21
Tunajivunia vya kwetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa upande wangu kilichoni bore ni zile medal, ni mbaya, ndogo, then finishing yake ni upuuzi mtupu. Bora wangeacha kutoa kofia wakomaa na medal kwa kweli.UDSM hakika mmejitahid kuandaa marathon matata nchini. Kongole. Ila mnabidi mwakani mjipange zaidi.
1. Usalama wa washiriki barabarani haukuzingatiwa (magari yaliendelea kupita wakati marathon inaendelea).
2. Hakukuwa na MC mahsusi wa shughuli nzima, zaidi wale wa kujitolea,
3. Finish line ilikua na watu kibao wanaselfika wakati marathoners wanarudi (ngumu kutambua mshindi halisi).
4.
21kms konki SI mchezo. Inshallah mwakani tutaonanaKwa upande wangu kilichoni bore ni zile medal, ni mbaya, ndogo, then finishing yake ni upuuzi mtupu. Bora wangeacha kutoa kofia wakomar na medal kwa kweli.
Otherwise maandalizi ya jumla nawapa nyota tano, usalama barabarani ni labda vile waliweka auxiliary police, so baadhi ya madereva wali mis behave!
Route ya 21Km ni konk sana yaani aliyeenda kwa pace ya 5.30 apongezwe.
Negativity at its peak.Marathon imekuwa sehemu ya watu kbanjuana sahvi
Ova
Tuache kuskiliza story za Vijiweni wakuu , hebu wewe tupe ushahidi jinsi Udsm marathon wadau walivyovunja amri ya sita ili tuamini unachojaribu kusema, even chartings tu tukuelewe.Marathon imekuwa sehemu ya watu kbanjuana sahvi
Ova
Kili@nishashuhudia sanaTuache kuskiliza story za Vijiweni wakuu , hebu wewe tupe ushahidi jinsi Udsm marathon wadau walivyovunja amri ya sita ili tuamini unachojaribu kusema, even chartings tu tukuelewe.
Acha wivu kwa mashosti wenzake. Unaumia nn wakipata madanga mapya?Kili@nishashuhudia sana
Ova
marathon ni mchezo?Ulitaka UD wachezeshe watu vigodoro? Michezo yenye staha kama Marathon ndiyo inayotakiwa!
Kweli mkuu. NI UMALAYA TU UMEWAJAA HUKO.Marathon ni kichaka kipya cha kufanyia uzinzi siku hizi.
Ha ha haKadange na wewe Kama utapata hata salamu
Wabongo wanafikiiEti kuna jamaa alisema "Hizi marathon za sasa ni njia mpya za kuchepuka, uzinzi na kutafuta madanga".
Duh unapanik we mdangaji nn kwenye hizo marathon[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha wivu kwa mashosti wenzake. Unaumia nn wakipata madanga mapya?
Medali hazina ubora kabisa... But I complete 21.1km na pace ya 4.4Kwa upande wangu kilichoni bore ni zile medal, ni mbaya, ndogo, then finishing yake ni upuuzi mtupu. Bora wangeacha kutoa kofia wakomaa na medal kwa kweli.
Otherwise maandalizi ya jumla nawapa nyota tano, usalama barabarani ni labda vile waliweka auxiliary police, so baadhi ya madereva wali mis behave!
Route ya 21Km ni konk sana yaani aliyeenda kwa pace ya 5.30 apongezwe.
Bib No zao next tume wajaribu kuweka zile digital, kwa taasisi yao nadhani ita sound good, vile ni taasisi ya kisomi.