SPY-NOTORIOUS
Member
- Sep 25, 2012
- 45
- 11
8
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama Bumu limetoka basi dada zetu pale Kalabash watakoma.wana udsm...mapishi tayari na kila kitu kwa meza....aris imejilipua...so wale wenzangu na mimi wa sup tuandae majeshi tena for attacks....by mdogo ake kisanko
hahahahahaahahaha unanikumbusha chuo aisee. duuh yaan boom liktema wa2 hawakamatk yaan hajulkan nan beneficial na nan ce.Kama Bumu limetoka basi dada zetu pale Kalabash watakoma.
Muda huo kila mtu ni mtoto wa kishua mpaka zikaribie kuisha ndiyo akili inakaa sawa.hahahahahaahahaha unanikumbusha chuo aisee. duuh yaan boom liktema wa2 hawakamatk yaan hajulkan nan beneficial na nan ce.
Mwalimu endelea kupiga kitabu, labda MOEVT wamewaomba aris wajaribu kuwaandaa ili mzoee ucheleweshaji mishahara mtakapo anza rasmi majukumu yenu mtaani.College gani mkuu. DUCE bado!